Wahouth wazidi kuwatambia Saud-Arabia kwa kuteka eneo la bahari naye kundi!!

Wahouth wazidi kuwatambia Saud-Arabia kwa kuteka eneo la bahari naye kundi!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Katika kumi gamba miongoni mwa Wahouthi wa Yemen ni kuwaonyesha wapiganaji na wafuasi wao wakipiga picha wakionyesha Mlango-Bab al-Mandab huku wakitoa vitisho dhidi ya Wafuga Midevu na Majini wenzao wa Saudi Arabia na kusisitiza uwezo wao wa kudhibiti eneo la kimkakati la Bahari Nyekundu.

Katika video moja, Wahouthi wanamzungumzia Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman moja kwa moja, wakitangaza kwamba hakuna meli ya Saudi Arabia au hata msumari wa Saudi Arabia utakaoruhusiwa kupitia Bab al-Mandab au Bahari Nyekundu hadi kuzingirwa kwa Yemen kutakapoondolewa.

Video zingine zimechukua picha na vifaa sawa vya maonyesho, zikigeuza mlango-bahari, ambapo njia kuu za meli za kimataifa hupita, kuwa msingi wa kampeni ya propaganda iliyoratibiwa inayolenga kuonyesha nguvu ya baharini ya Wahouthi na kuongeza shinikizo kwa Riyadh.

Wafuga Midevu na Majini wakipigwa a wao kwa wao ni furaha kubwa kwa wapenda Amani duniani!!!!
 

Attachments

  • 6562996635682382711.mp4
    4.8 MB
  • -420088924526363549.mp4
    14.8 MB
Kinacho iponza Saudi Arabia ni Mambo ya Palestine

Japo wenyewe S.A wamegoma kujiunga na Mkataba wa Abraham lkn bado mchango wao kwa Palestine ni mdogo kufananisha na Houthi + Iranian !
Matokeo yake yalizaa Oct 07,2023!! Iliyosababisha Gaza iwe kifusi mtupu!!
 
Kitajengwa

Duniani nzima kumejengwa na Binadamu
Binadamu bado wapo wa
kujenga popote ikiwemo Gaza!!
Wafuga Midevu na Majini kwa kujifariji kijinga mnajua sana!! Sasa niambie je mizoga ya magaidi nazo mtazirejesha upya?

Yahya Sinwar na wenzake nao mtawarejesha muwaaachishe wale Mabikira 72 fake?
 
Huu ulikuwa muda sahihi wa Israel kuwatandika Hawa wavaa misuli sijajua kwann wamewaachia .
 
Muslim kuwagombanisha NI rahisi sn, wape silaha then watofautishe kwenye interest....kisha mwagia petrol kizibo Tu...kaa pembeni vuta sigara yako angalia game
 
Back
Top Bottom