Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 2,691
- 4,057
Mbona sasa wakiua wanasema takbiriiii, halafu wote hao wanaungwa mkono na vikundi vya Kiislamu tu? Husikii wapagani wakiwaunga mkono. Naweza kuwaelewa Wapalestina, lakini huaga siwaelewi mashabiki wa Wapalestina wa huku Africa hasa. Majority huaga mna husissha ugomvi ule na DINI ya mnyaazimungu, hapo ndio panapo nipa shida. Al shaabab, Alqaeda, Bokho Haramu hata Hezbollah huwezi kuwatofautisha na Uislam bro, huwezi wallah, hadi madhehebu yao yanajulikana.Hakuna anayeua bila sababu TU ili mradi wale wapalestine Hata hoja zao ukisiliza hakuna Hata Moja inayohusu dini, Al shabab hakuna hoja ya dini sema wapiganaji ndio Wana dini hivyo labda ndio kina kuchanganya hao MANABII walitetea haki za watu wao lazima utaingia conflict tu na watu unapoanza kusimamia haki hio ndio nature ya binadamu, hivyo wewe unachanganya vitu Fanya research uone jinsi waigania haki popote duniani wanavyopata taabu na majina mabaya na kuuwawa hivyo ukiwa lelemama sio mkorofi unakufa bila impact yoyote
Sometimes nawaelewa sana Wamarekani, Ayatollah Khamenei na Khashim Rafsanjani walivo pindua serikali ya bwana Shah pale Iran, USA akawa hawataki kabisa, najiuliza, aliwajuaje? Nimeishi kwenye Uislam hadi nikiwa na umri wa miaka 24, hadi mwishoni mwa miaka ya 80 Waislamu na Wakristo Tanzania hatukuaga na shida ya uhusiano, baba yangu aliwahi ku adopt mtoto wa ndugu yake (nadhani huyo yake alifariki miaka kadhaa ) na binti yule ali maintain Ukristo wake pale kwetu, alikua mkatoliki, baba alikua akimpa ushirikiano wote, na sisi tulikua tunamwita dada hadi mzee alikuja kumuozesha kwa mumewe, shida ilianza pale Iran ilipoanza kua stable, baada ya vita yake na Iraq kwisha mwaka 1988; ndio huku zikaanza mara Barukta, mara waislamu wamevunja mabucha ya nyama za nguruwe, mara mfumo Kristo, mara vikundi ya "Yesu sio mwana wa Mungu" hivo yaani. USA aliwajuaje wale suruali fupi kwamba ni wakorofi?