WaHouthi wanatarajia kuondoshwa madarakani huko nchini Yemen

Mbona sasa wakiua wanasema takbiriiii, halafu wote hao wanaungwa mkono na vikundi vya Kiislamu tu? Husikii wapagani wakiwaunga mkono. Naweza kuwaelewa Wapalestina, lakini huaga siwaelewi mashabiki wa Wapalestina wa huku Africa hasa. Majority huaga mna husissha ugomvi ule na DINI ya mnyaazimungu, hapo ndio panapo nipa shida. Al shaabab, Alqaeda, Bokho Haramu hata Hezbollah huwezi kuwatofautisha na Uislam bro, huwezi wallah, hadi madhehebu yao yanajulikana.
Sometimes nawaelewa sana Wamarekani, Ayatollah Khamenei na Khashim Rafsanjani walivo pindua serikali ya bwana Shah pale Iran, USA akawa hawataki kabisa, najiuliza, aliwajuaje? Nimeishi kwenye Uislam hadi nikiwa na umri wa miaka 24, hadi mwishoni mwa miaka ya 80 Waislamu na Wakristo Tanzania hatukuaga na shida ya uhusiano, baba yangu aliwahi ku adopt mtoto wa ndugu yake (nadhani huyo yake alifariki miaka kadhaa ) na binti yule ali maintain Ukristo wake pale kwetu, alikua mkatoliki, baba alikua akimpa ushirikiano wote, na sisi tulikua tunamwita dada hadi mzee alikuja kumuozesha kwa mumewe, shida ilianza pale Iran ilipoanza kua stable, baada ya vita yake na Iraq kwisha mwaka 1988; ndio huku zikaanza mara Barukta, mara waislamu wamevunja mabucha ya nyama za nguruwe, mara mfumo Kristo, mara vikundi ya "Yesu sio mwana wa Mungu" hivo yaani. USA aliwajuaje wale suruali fupi kwamba ni wakorofi?
 
Ndoto iyo ilikuwa ya Saudia lkn akajikuta anajizoa kwa aibu!!!!!!!!
 
Bro kumbe ulikua muislam, inalillah wainailah rajiun, lakin uko positve unahitaji kujua vitu Sasa ningependa kupata live conversation nawewe humu hatuwezi kuelewana Kwa sababu itanibidi kuandika Sana na wakati mwingine nachelewa kuona tag! Na bahati mbaya humu tushajiwekea kutokujuana duuh! Niwekee email Yako pm siku nikirudi tutafutane be honest with me sijwahi onana na mtu humu inshallah utaelewa tu
 
Vita zilikuwepo duniani kote kabla ya Uislamu. Kwa hiyo hata kama itabaki dini moja tu duniani watu wataendelea kupigana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…