Wahubiri wangu wa mfano Tanzania

Huwa sijichukulii kama mtu wa dini sana. Ila kuna mwaka fulani nilipatanafasi ya kuhudhuria ibada iliyoongozwa na Moses Kulola.

Itoshe tu kusema, yule bwana alikua mtu wa Mungu!
 
✅🙏
 
Pm
 
Huyo na Christopher Mwakasege ni habari nyingine
 
Ambao napenda kuwasikiliza

1.Charles Lawson
2.Steven Lawson
3.John MacArthur
4.Paul washer
5.T.L Osborn
6.John Hagee
7.Benny Hinn
8.C.S Lewis ( R.I.P)
9.Joshua Maponga
10.Elingarami Munisi
 
Nenda kwa Kakande- Uganda hutojutia ibada yake ya kila J3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…