Wahubiri wangu wa mfano Tanzania

Pastor Chris oyakilome aliwahi kusema

"kufanya masterbation sio dhambi"

Hii ilinitisha kidogo maana nilikua mfuasi wake mzuri.
Lakini nafikiri hakumaanisha hivyo. Alilenga fikra, kwamba kama wazo ovu halipo moyoni mwa mtu, hawezi kufanya uovu. Kwa hiyo, kama mtu hafikirii hicho, kamwe hawezi kufanya.

Nimeitafuta clip yake mtandaoni baada ya kuiona comment yako. Hamaanishi watu wajichue, bali wasiwe na hizo fikra.
 
Pastor Carlos Kirimbai ni wa wapi?
 
Kwa issue ya udini sijui udhehebu, Mwl Mwakasege kafanikiwa kuukwepa huo mtego. Mmoja wa watumishi aliojifunza kwake ni Aaron B. C. Mabondo. Kwa mujibu wa kitabu cha Historia ya maisha na utumishi wa marehemu Aaron B. C. Mabondo, alikuwa ni "mentor" wa Mwakasege.

Siku Mwakasege alipoona semina ya Mabondo imehudhuriwa na watu toka madhehebu mbalimbali, alimtafuta na kumwuliza siri ya mafanikio yake. Kuanzia siku hiyo, Mzee Mabondo akawa kama mshauri wake katika huduma.
 
Samwel Kakande wa The Kakande Ministries Uganda.

BJ Makananisa wa South Africa

Mwalimu Christopher Mwakasege nawafuatilia wapo vizuri kwenye kufundisha na kueneza neno la Mungu
πŸ™πŸ™πŸ™
 
huyo Uebert Angel, umepotea. mwalimu wenu pia ni mhubiri mzuri ila huwa hajui hata anachohubiri kwasababu hajawahi kuexperience wokovu wa kweli. the same kwa kimaro. mwenye kuelewa ameelewa.
Mkuu, sikuelewi kabisa unachomaanisha kwa kusema kuwa Mwalimu wetu hajawaji kuexperince wokovu wa kweli. Ni Mwalimu yupi huyo? Mwakasege?

Mimi binafsi, Mwalimu wangu ni Roho Mtakatifu, na Mwakasege ni Mtumishi wa MUNGU anayefundisha Neno la Mungu lililovuviwa na Roho Mtakatifu.

Kuhusu kuexperince wokovu, sijajua umemaanisha nini hasa.

Labda nikuulize kama hutojali! Unamfahamu Marehemu Ask. Mosses Kulola? Na Aaron Mabondo je? Hao watumishi - Kulola na Mabondo waliexperience wokovu wa kweli?
 
Hao unawakibali kwa sababu wananeno la Mungu ama kwa sababu wanajua kuhubiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…