Wahudumu wa afya wa ziada waitwa kumhudumia Putin baada ya afya yake kudorora

Huyo Putin si juzi tarehe 22-24 alikuwa Iran kakutana na Rais wa irani na raisi wa uturuki.. aliugulia huko huko Iran ama?
Yule alikuwa Double kama Michael Jackson aliyekuwa Tanzania na kudai Dar inanuka!
 
CIA utafananisha na majasusi ya Kremlin!?
Hii habari ni propaganda kama zingine tu
 
Hata mimi hilo linanishangaza sana - sijui wamelishwa nini? Kama propaganda hizi zingekuwa zinatokea US na UK ninge elewa, lakini sio hapa uswahili.
 
Vladimir Putin holds a meeting today with permanent members of the Security Council in Moscow.

NATO[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…