Wahudumu wa afya wa ziada waitwa kumhudumia Putin baada ya afya yake kudorora

Wahudumu wa afya wa ziada waitwa kumhudumia Putin baada ya afya yake kudorora

Huyo Putin si juzi tarehe 22-24 alikuwa Iran kakutana na Rais wa irani na raisi wa uturuki.. aliugulia huko huko Iran ama?
Yule alikuwa Double kama Michael Jackson aliyekuwa Tanzania na kudai Dar inanuka!
 
Wiki iliyopita C.I.A walianza kujiweka mbali juu ya afya ya Putin na kudanganya kuwa yupo imara,

Hawa watu wakikusifia jua kwamba kuna kitu sio buree,

Madaktari wawe karibu sn na huyo babu la sivyo vita aliyoianzisha huko Ukraine hataiona mwisho wake.
CIA utafananisha na majasusi ya Kremlin!?
Hii habari ni propaganda kama zingine tu
 
Kama vile hamna akili [emoji28][emoji28][emoji28]

Hivi mmeoiona afya ya Biden ilivyo mpaka sometimes ana kuwa ana sahau sahau hata mlango aliotumia kupitia kuingia ktk press nilidhani kwamba pro western mtatenga muda wenu kulijadili Hilo badala ya kukaa na kuanzisha propaganda za kipumbavu
Hata mimi hilo linanishangaza sana - sijui wamelishwa nini? Kama propaganda hizi zingekuwa zinatokea US na UK ninge elewa, lakini sio hapa uswahili.
 
Vladimir Putin holds a meeting today with permanent members of the Security Council in Moscow.

NATO[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom