F35-Bomber
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 1,345
- 1,069
Bado wa kulala nae 50k kwenda mbele inategemea na quality wengine mpaka 10 kwahiyo kiufupi Kila siku anauwezo wa kuingia pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Unamuuliza mfungwa amejuaje hali ya gereza?
Ila wanywaji tunafaidi sana basi tu,ndio mana hatupati sijui presha, visukari nk maana tunazisuuza roho zetu vilivyo
***** umenichekesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namna gani unapigwa kwenye bili ama chakula
Wahudumu wengi hawapendelei wateja wa cash.. Hiyo ni nipe nikupe.. Wengi hupendelea wateja wa bili wale wa kulipa mwishoni
Namna ya upigaji.. Hapa kuna njia 3 na mhudumu huchagua mojawapo kati ya hizo
1. Kuongeza mia mpaka buku kwa baadhi ya vinywaji hasa ambavyo sio common
2. Kuchomekea idadi zaidi ya vinywaji mlivyokunywa
3.. Kuweka idadi sawa ya vinywaji lakini akakupiga kwenye total
Kwenye vyakula hasa nyama nyama hizi supu na michemsho
1.. Kuuziwa bei juu kuliko kawaida
2. Kupunguza idadi ya vipande vya nyama
Kitimoto unapewa nusu na robo
Kongolo unawekewa kwato moja[emoji23]kwani huyo moo ni mlemavu au ni zimwi?
3. Kwenye mbuzi kuku nk vinapunguzwa vipande vya nyama
4. Kwenye mkia wa moo unapewa pingili 13 wakati moo mkia wake una pingili 16[emoji23]
Akipiga kwa wateja watatu wanne keshapata sahani yake!
Kwingine tunapigwa kwenye ndaza, na nyama za wizi