Wahudumu wa hotel, Bar na migahawa Tanzania wana shida gani?

Nadhani tuwe na utaratibu wa kutoa Tip, au keep change,

Nchi kama Marekani , unachangamkiwa kuhudumiwa , kutokana kwamba kuna Tip,

Hawa wenzetu kazi zao maslahi ni kidogo sana, wana msongo wa mawazo, hivi unawaona askari Traffic jinsi walivyo active huko mabarabarani, ? Unafikiri ni kwamba wanaipenda sana kazi yao?

Rushwa ndio inawafanya wawe active vile,. Hata akiwa off , sio ajabu kumkuta barabarani.

Sasa tuwe na utaratibu wa kuwapa hawa wahudumu angalau 5% ya bei ya chakula ulichokula. Hata kwenye baa iwe hivyo, mtu unatumia sh 30000/- kula au kunywa , mtoto wa watu wakakuhudumia hapo, unaagiza tu, nipe maji, nipe tooth pick, nipe sijui toilet paper, mwisho kabisa nipe change yangu, halafu huyo unaenda kwenye gari lako!!!! Bila kumpa hata 1000!!!!, hata aibu huna ?!!! SHAME TO YOU. Miafrika ndivyo tulivyo, mfyuuuuu,

Tumekuwa na riho mbayaaaaa.

Unaletewa maji , unaletewa chakula, huduma zote unapewa kwa upendo, unamaliza kula hata kusema ansante kwa kunihidumia na wewe shika hii, unaondoka tu na mitako yako, nyamafu kabisa, shame, shame, shame to to you all.

Mna roho mbaya sana nyie,

Unawezaje kutumia sh 60000, na limeza umechafua na maugali yako na mamifupa umeacha hapo kama mbwa , hata 2000 mbili ya nauli unashindwa kumpa mhudumu? Nyambafu kabisa nyie.

Nilishaenda kwenye baa fulani na mwanamke, tumehudumiwa vizuri, tunaondoka , naacha tip, eti yule mwanamke ananikataxa! Nilitaka kumlamba kibao, na toka siku hiyo sitaki hata kumwona, maana tabia hio ndio ina mliflect jinsi alivyo rohoni.

Hivi huoni aibu kabisaaa, unaenda na gari , unanunua au unaagiza chakula cha 15000, unakula , halafu unaondoka hivihivi hata kuacha 1000/-?!???! Duuu, watu mna roho mbaya.

Hivi unadhani huyo mhudumu analipwa sh ngapi?
Mnapenda sana kudharau watu nyie,.

Tip ndio mpango mzima ndugu, kama ulikuwa hujui ndio ujue leo.

The Naked Truth.
 
Customer Caring ni BIG ZERO kwa wahudumu wa restaurants Tanzania....wa Hotels hasa za kitalii wana nafuu kubwa kwasababu wanasomea though hatujawafikia majirani wa Kenya
Halafu kingine: sehemu nyingi za Bar au hotel wanafanya complication zisizo na umuhimu. eg hakuna sababu ya ''kunawishwa mikono'' wakati wanaweza kutengeneza sehemu ya kunawia.
 
Nadhani tuwe na utaratibu wa kutoa Tip, au keep change,

Nchi kama Marekani , unachangamkiwa kuhudumiwa , kutokana kwamba kuna Tip,

Hawa wenzetu kazi zao maslahi ni kidogo sana, wana msongo wa mawazo, hivi unawaona askari Traffic jinsi walivyo active huko mabarabarani, ? Unafikiri ni kwamba wanaipenda sana kazi yao?

Rushwa ndio inawafanya wawe active vile,. Hata akiwa off , sio ajabu kumkuta barabarani.

Sasa tuwe na utaratibu wa kuwapa hawa wahudumu angalau 5% ya bei ya chakula ulichokula. Hata kwenye baa iwe hivyo, mtu unatumia sh 30000/- kula au kunywa , mtoto wa watu wakakuhudumia hapo, unaagiza tu, nipe maji, nipe tooth pick, nipe sijui toilet paper, mwisho kabisa nipe change yangu, halafu huyo unaenda kwenye gari lako!!!! Bila kumpa hata 1000!!!!, hata aibu huna ?!!! SHAME TO YOU. Miafrika ndivyo tulivyo, mfyuuuuu,

Tumekuwa na riho mbayaaaaa.

Unaletewa maji , unaletewa chakula, huduma zote unapewa kwa upendo, unamaliza kula hata kusema ansante kwa kunihidumia na wewe shika hii, unaondoka tu na mitako yako, nyamafu kabisa, shame, shame, shame to to you all.

Mna roho mbaya sana nyie,

Unawezaje kutumia sh 60000, na limeza umechafua na maugali yako na mamifupa umeacha hapo kama mbwa , hata 2000 mbili ya nauli unashindwa kumpa mhudumu? Nyambafu kabisa nyie.

Nilishaenda kwenye baa fulani na mwanamke, tumehudumiwa vizuri, tunaondoka , naacha tip, eti yule mwanamke ananikataxa! Nilitaka kumlamba kibao, na toka siku hiyo sitaki hata kumwona, maana tabia hio ndio ina mliflect jinsi alivyo rohoni.

Hivi huoni aibu kabisaaa, unaenda na gari , unanunua au unaagiza chakula cha 15000, unakula , halafu unaondoka hivihivi hata kuacha 1000/-?!???! Duuu, watu mna roho mbaya.

Hivi unadhani huyo mhudumu analipwa sh ngapi?
Mnapenda sana kudharau watu nyie,.

Tip ndio mpango mzima ndugu, kama ulikuwa hujui ndio ujue leo.
Kipi kianze?
Huduma nzuri au tip bila kujali ubora wa huduma kwa minajali watabadilika na kuwa bora baadaye wakiwa wanapata tips??
 
Halafu kingine: sehemu nyingi za Bar au hotel wanafanya complication zisizo na umuhimu. eg hakuna sababu ya ''kunawishwa mikono'' wakati wanaweza kutengeneza sehemu ya kunawia.
Hii nayo muhimu sana, ni usafi zaidi kunawa mikono bombani kuliko kwenye vibobo na mabeseni.
 
Sehemu ambayo ina wahudumu wanajielewa ni Samaki Samaki na nduguye Wavuvi Kempu ukitoa 4/5* hotels. Wahudumu wa Carlito ni well-trained halafu pisi zimenyooka. Wenye bar mjifunze kwa Samaki Samaki.
Kama unapenda kitimoto enda pale sinza lego utafurahia huduma maana unakimbiliwa na wahudumu
 
Sehemu ambayo ina wahudumu wanajielewa ni Samaki Samaki na nduguye Wavuvi Kempu ukitoa 4/5* hotels. Wahudumu wa Carlito ni well-trained halafu pisi zimenyooka. Wenye bar mjifunze kwa Samaki Samaki.
Sio kila mtu anapenda kwenda sehemu zenye kelele, pombe na vibe. Watu wengine wanataka kukaa tu mahali jioni au weekend baada ya kazi wale au wanywe kahawa kwa utulivu huku wakipata huduma bora, sasa badala yake unakuta mnaanza kufokeana na kusukumana tena na wahudumu.
 
Nefaland, Royal Village,Rombo Hotel, Peacock Hotel,Silver Paradise Hotel naona wana huduma nzuri wahudumu wapo active sana na customers care nzuri
 
Nadhani tuwe na utaratibu wa kutoa Tip, au keep change,

Nchi kama Marekani , unachangamkiwa kuhudumiwa , kutokana kwamba kuna Tip,

Hawa wenzetu kazi zao maslahi ni kidogo sana, wana msongo wa mawazo, hivi unawaona askari Traffic jinsi walivyo active huko mabarabarani, ? Unafikiri ni kwamba wanaipenda sana kazi yao?

Rushwa ndio inawafanya wawe active vile,. Hata akiwa off , sio ajabu kumkuta barabarani.

Sasa tuwe na utaratibu wa kuwapa hawa wahudumu angalau 5% ya bei ya chakula ulichokula. Hata kwenye baa iwe hivyo, mtu unatumia sh 30000/- kula au kunywa , mtoto wa watu wakakuhudumia hapo, unaagiza tu, nipe maji, nipe tooth pick, nipe sijui toilet paper, mwisho kabisa nipe change yangu, halafu huyo unaenda kwenye gari lako!!!! Bila kumpa hata 1000!!!!, hata aibu huna ?!!! SHAME TO YOU. Miafrika ndivyo tulivyo, mfyuuuuu,

Tumekuwa na riho mbayaaaaa.

Unaletewa maji , unaletewa chakula, huduma zote unapewa kwa upendo, unamaliza kula hata kusema ansante kwa kunihidumia na wewe shika hii, unaondoka tu na mitako yako, nyamafu kabisa, shame, shame, shame to to you all.

Mna roho mbaya sana nyie,

Unawezaje kutumia sh 60000, na limeza umechafua na maugali yako na mamifupa umeacha hapo kama mbwa , hata 2000 mbili ya nauli unashindwa kumpa mhudumu? Nyambafu kabisa nyie.

Nilishaenda kwenye baa fulani na mwanamke, tumehudumiwa vizuri, tunaondoka , naacha tip, eti yule mwanamke ananikataxa! Nilitaka kumlamba kibao, na toka siku hiyo sitaki hata kumwona, maana tabia hio ndio ina mliflect jinsi alivyo rohoni.

Hivi huoni aibu kabisaaa, unaenda na gari , unanunua au unaagiza chakula cha 15000, unakula , halafu unaondoka hivihivi hata kuacha 1000/-?!???! Duuu, watu mna roho mbaya.

Hivi unadhani huyo mhudumu analipwa sh ngapi?
Mnapenda sana kudharau watu nyie,.

Tip ndio mpango mzima ndugu, kama ulikuwa hujui ndio ujue leo.
Umehudumiwa vibaya hiyo tip utatoaje? Yaani umekereka Hadi chenji Yako unataka uichae tu maana umeisubiri kuliko muda ule ulio tumia kula!

Unaenda kwenye mgahawa Hadi una uliza wahudumu wako wapi? Ndo anakuja hasalimii Wala kuonyesha kuchangamka tembea yake tu kana kwamba anaulaani ujio wako hapo!

Daah Kuna shida kubwa Sana Kwa wahudumu wa mbogo.

Nimewahi enda Uganda kwenye lile kanisa la RC nadhani Namgongo kama sijakosea wahudumu walikuwa Smart hatari japo kiswahili changamoto kwao
 
Mkuu Tanzania ni watoa huduma zote sekta zote wako. Hospitalini ndiyo kabisaa. Polisi. Mahakamani. Ofisi zote za serikali. Makondakta wa magari. Mpaka viongozi wa serikali. Ni utamaduni tumeujenga.
Nilitaka kusema hili. Unaweza ingia ofisi ya serikali kupeleka pesa ukadhani wewe ndo umefata pesa hivyo wanakukwepa. Watu wamevimba, mabega juu, wapo serious na simu au laptop.
 
Umehudumiwa vibaya hiyo tip utatoaje? Yaani umekereka Hadi chenji Yako unataka uichae tu maana umeisubiri kuliko muda ule ulio tumia kula!

Unaenda kwenye mgahawa Hadi una uliza wahudumu wako wapi? Ndo anakuja hasalimii Wala kuonyesha kuchangamka tembea yake tu kana kwamba anaulaani ujio wako hapo!

Daah Kuna shida kubwa Sana Kwa wahudumu wa mbogo.

Nimewahi enda Uganda kwenye lile kanisa la RC nadhani Namgongo kama sijakosea wahudumu walikuwa Smart hatari japo kiswahili changamoto kwao
Sahihi, unafika mahali mhudumu anakuja baada ya dakika tano, unamuuliza chakula kitachukua muda gani kuwa tayari anakuambia nusu saa tu halafu kinakuja baada ya saa na nusu, umemaliza kula humuoni akanawishe na akupe bill yako, ukimpata akishachukua pesa yako unaanza tena kumtafuta akurudishie chenji yako sasa unampa tip ya nini!
 
Tatizo ni Bad Customer care!
Customer care ni tatizo kubwa Sana kwa Watu weusi wengi. Na baadhi ya Wahudumu Wana lugha chafu sana kwa wateja. Kwenye nchi moja fulani niliyowahi kuzuru, nimeona baadhi ya Wamiliki wa Migahawa (Restaurant) kubwa kubwa wameanza kutumia 'Maroboti' katika kutoa huduma kwa Wateja ili kuepukana na hili tatizo la bad customer care linalofanywa na Wahudumu Binadamu.
 
Hapo kwenye chenji sasa wengi wanapenda kuminya,yaani wanakusikilizia
Ngoja niingie hapa nikapige kitu cha kituruki

Ova
 
Attachments

  • 20240727_101424.jpg
    20240727_101424.jpg
    2.3 MB · Views: 1
Sehemu ambayo ina wahudumu wanajielewa ni Samaki Samaki na nduguye Wavuvi Kempu ukitoa 4/5* hotels. Wahudumu wa Carlito ni well-trained halafu pisi zimenyooka. Wenye bar mjifunze kwa Samaki Samaki.
Na salt pia

Ova
 
Sana sana kama una roho ndogo una mtu kama tu
Sahihi, unafika mahali mhudumu anakuja baada ya dakika tano, unamuuliza chakula kitachukua muda gani kuwa tayari anakuambia nusu saa tu halafu kinakuja baada ya saa na nusu, umemaliza kula humuoni akanawishe na akupe bill yako, ukimpata akishachukua pesa yako unaanza tena kumtafuta akurudishie chenji yako sasa unampa tip ya nini!
 
Waarabu hawana ustaarabu huu wa kuomba omba? Huenda tumeathiriwa nao kutoka huko kwa wajomba zako,

Ninafahamu wazungu hawana huu ustaarabu kwa hiyo siwezi kuwahusianisha wakoloni na huo "ustaarabu" wa kipuuzi.
Nini maana ya neno "ustaarabu'? Unaelewa au unakurupuka tu?
 
Back
Top Bottom