Wahudumu wa hoteli/guest/Lodge wanavyotoa huduma ya ngono kwa wateja

Wahudumu wa hoteli/guest/Lodge wanavyotoa huduma ya ngono kwa wateja

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,743
Wasaalam,

Leo nina kitu ambacho nataka ni share na nyie wiki iliyopita nilikuwa ziarani America ya Kusini nchi za Brazil, Chile na Argentina kuna kitu ambacho nilikishangaa ambacho hakikuwa cha kawaida.

Kuna baadhi ya hotel (nyingi) wahudumu wa kike wanatoa huduma ya ngono kwa wateja ambao wako single ukienda ukichukua chumba mhudumu anakupeleka chumbani akikubebea begi then kabla hajakuacha anakuuliza akimaliza shift yake aje? Ukisema tu ndio baada ya shift anakuja kugonga mlango ukifungua tu anakusukuma chumbani mpaka kitandani ukiwa hujui hili wala lile tayari kaanza kukupa blow job.

Watu waliofika nchi hizo watakubaliana na mie sasa bwana nikaja kuwasimulia jamaa zangu wa bongo washkaji wakaniambia kuwa wameshafanya hivyo sana tu kwenye ma guest lodge na hoteli kibao wahudumu wa hizo hoteli na lodge walishawafanya visusio.

Nakumbuka kuna lodge moja aAusha niliingia saa 5 usiku kufika mapokezi hakuna mtu mlinzi wa lodge hiyo alikuwa nje akaniambia kuwa mwenyewe yupo nimsubiri (yaani mtu wa mapokezi) nikatembea kati kati ya korido nikawa nasikia chumba kimoja kuna mihemko ya mahaba inatoka.

Baadae namuona dada mmoja anatoka huko kwenye hicho chumba inaelekea alipigiwa simu na mlinzi kuambiwa kama kuna mgeni kwani yule dada alinipa chumba ambapo ndio nikagundua kuwa alikuwa ni mhudumu yaani alikuwa anashughulikiwa.

Baadhi ya watu wa mapokezi wanagalagazwa na wateja wa usiku unakuta guest imeandikwa vyumba vimejaa jua mhudumu wa mapokezi anagalagazwa huko.

Wadada wa usafi wale wanapigwaga "cha asubuhi" na wateja wengi single. Hii inachangiwa na pesa

Maeneo ya guest hotel na lodge sio maeneo salama kwa wanawake na wake za watu kufanya kazi kwani asilimia 60 ya wanawake wanaofanya kazi lodge, guest na hotel wanashughulikiwa na wateja

Oy c.t u unapajua sinza kijiweni kwa chini ndio hiyo hotel ipo kuna mishangingi acha kabsaa
 
Oy c.t u unapajua sinza kijiweni kwa chini ndio hiyo hotel ipo kuna mishangingi acha kabsaa

Maeneo yote hayo mpaka lions watu wanajipigia wahudumu tu hapo walikuwa watu wa mapokezi au watu wa usafi?
 
Haya tushajua kama ulikuwa nje ya nchi

Mbona mnakuwa wepesi sana wa kuchukulia mambo ndivyo sivyo? Kwa hiyo ulitaka aseme alisafiri kwenda Mwanza, Mbeya au Sumbawanga akakuta wahudumu wa hoteli wanafanya hayo?Huoni kama angekuwa anasingizia watu? Ametoa experience yake kutokana na alichokiona firsthand, kama angetwambia amesimuliwa kuwa Chile, Brazil sijui na wapi wanafanya hayo, Tungemsakama kwa kutoa hadithi iliyotokana na kusimuliwa au kutunga.
 
mkuu kuna watu hawajawah safir so wivu wa kike unawasumbua........
 
Hahaa... Na wengine wanakupa namba za simu kabisa wakiwa off wakufate ulipo...
 
Mbona mnakuwa wepesi sana wa kuchukulia mambo ndivyo sivyo? Kwa hiyo ulitaka aseme alisafiri kwenda Mwanza, Mbeya au Sumbawanga akakuta wahudumu wa hoteli wanafanya hayo?Huoni kama angekuwa anasingizia watu? Ametoa experience yake kutokana na alichokiona firsthand, kama angetwambia amesimuliwa kuwa Chile, Brazil sijui na wapi wanafanya hayo, Tungemsakama kwa kutoa hadithi iliyotokana na kusimuliwa au kutunga.
Jisemee na wewe ndugu yangu
 
Asilimia 60?
ni sawa na kusema asilimia 40 wako safe

anyway njaa na shida kwa msichana yeyote yule inamfanya awe 'kisusio'
popote pale....maofsini..kuna ma interns, mahospitalini kuna manesi
bar kuna wahudumu na kadhalika....huduma popote siku hizi
 
Back
Top Bottom