Wahudumu wa hoteli/guest/Lodge wanavyotoa huduma ya ngono kwa wateja

Wahudumu wa hoteli/guest/Lodge wanavyotoa huduma ya ngono kwa wateja

hivi kumbe ukitembea na wanawake wengi ni ufahari?? wao ndio malaya ila wewe ulotembea nao sio hata kama wana ukimwi.

ukisema nimewala wengi kuwa makini pengine uneliwa wewe
 
Huu mchezo upo sana kila mahali hata Mimi nishanyonga sana kipindi cha nyuma.
 
india, ukiingia mapokezi kuna daftari ama niseme album lenye namba za wahudumu na picha zao ukihitaji unaletewa, haya mambo ni kila mahala
 
kuna ukwl fulani ila kuna wanaojitambua,c rahic sana room ziwe wazi halaf kuandikwe ziko full kwa usiku..room zinazoingia kwa usiku huitwa 'room plus'..hizi mara nyingi huliwa na mlinzi,reception na housekeeper...huliwa kwakuwa unakuta boss hayuko mida hiyo na mishahara ya kibongobongo ni ngumu sana zikaachwa eti waandike kumejaa waache kupiga pesa ya watu wanaoingia short time huo usiku.hiyo ni kwa BONGO cjajua huko mabrazil inakuaje.
 
Hata sisi wahudumu wa guest tunawagonga sana wanawake wenu .mtu anakuja na njemba inapiga kimoja then inalala unakuta mdada wa watu hajaridhika ananiita nimridhisheeee wengine wadada wanakuja wanakimbiwa na wapenz wao sie tunaenda chinjaaaaa.mkija mmelewa tunawagonga wote wewe na msichana wako mpaka muache uzinzi na ulevi
 
Sinza mbona karibia hotel zate, guest, na lodge ndiyo michezo yao. Kama umekuja single unaulizwa kabisa, chumba kitupu au na mtu.
 
Mkeo akiwa mfanyakazi wa hotel jua ni lazima apigwe tu, nina experience kubwa juu ya hilo, hata siku 1 sitaruhusu mke wangu afanye kazi ya hotel!
 
Hata sisi wahudumu wa guest tunawagonga sana wanawake wenu .mtu anakuja na njemba inapiga kimoja then inalala unakuta mdada wa watu hajaridhika ananiita nimridhisheeee wengine wadada wanakuja wanakimbiwa na wapenz wao sie tunaenda chinjaaaaa.mkija mmelewa tunawagonga wote wewe na msichana wako mpaka muache uzinzi na ulevi

Hahahahaha ujumbe umewafikia lol...
 
Mkuu C.T.U umenikumbusha mbaliiiiii ! khaaa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom