Wahudumu wa hoteli/guest/Lodge wanavyotoa huduma ya ngono kwa wateja

Sinza mbona karibia hotel zate, guest, na lodge ndiyo michezo yao. Kama umekuja single unaulizwa kabisa, chumba kitupu au na mtu.
Mbona mi sijawahi kuulizwa hivyo?Acheni uongo,kwani ninachojua ni kuwa wanaume ndio huwashawishi wahudumu wa kike ili wafanye nao ngono.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa mnavyotaja hizo hotel, guest au lodge sisi wenye wake zetu au ndugu zetu hapo hamuoni mnatupa presha wakuu[emoji56] [emoji56] [emoji56]
 
Mkeo akiwa mfanyakazi wa hotel jua ni lazima apigwe tu, nina experience kubwa juu ya hilo, hata siku 1 sitaruhusu mke wangu afanye kazi ya hotel!
Mbona anagongwa na wauza maji
 
Hakuna hotel au lodge km hyo pumbavu we labda guest bubu za kitaa.unaijua lodge au hotel??? HV uende Serena pale ukute kahaba
We kweli uko chato. Michangu kibao iko serena watu wanaifokoa mpaka chooni[emoji2]
 
 
Asante kwa tangazo la wadhamini...wengi wamepona sana kwa hawa wahudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…