Wahudumu wa massage wanahitajika DSM

D Vice

Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
59
Reaction score
40
Sifa za waombaji,

1. Awe msichana kuanzia miaka 18 hadi 30.

2. Awe ana ujuzi wa massage na urembo (beauty therapy)

3. Awe mkazi wa dar es salaam, ikiwa anaishi ilala atapewa kipaumbele.

4. Awe tayari kufanya kazi bila msukumo.

Mshahara kwa mwezi ni tsh 360,000/=

Chakula cha asubuhi na mchana kinapatikana ofisini.

Wahudumu wanaohitajika ni wawili (2) tu.

KUOMBA NAFASI HII BONYEZA LINK HAPO CHINI

jobsfacilitators@gmail.com
 
Division of labour 📌 ww kama unaona kazi za wengine ni uzinzi basi ww upo kwenye kundi la utumwa na kuhenyeshwa
 
Karibuni
 
Watakuja mkuu

Sasa mpwa, hebu toa ramani, wapi kwenye hiyo parlour ya Massage. Nimestua msuli wa jeki nahitaji kupata huduma ya masaji.

Toa ramani hakika uzao wako utabarikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…