Wahudumu wa Shishi Food Dodoma wajifunze kauli nzuri kwa wateja

Nimetoka Kula Leo Hapo Mda Sio Mrefu
Dom wapi napata huduma pendwa? Nipo wiki ya 3 Sasa napishana na mashangazi tu. Nimefikia hapa Morena. Msaada tafadhali angalau nipunguze Ugwadu.
 
Shishi akifata ushauri huu biashara itamdodea Yani five minutes wahudumu hawakufati loh, mimi naondoka na sirudi tena hapo
Tena unaenda kutangaza au kuwaambia na wengine kuhusu huduma mbovu za sehemu husika Yaani...
 
tz wahudumu wanataka mteja awabembeleze badala ya mhudum kumbembeleza mteja lkn tutafika
 
Ila wateja wengine wa chakula Wana gubu sn..unaweza kufika mgahawani unakuta wateja wengine wanahudumiwa lkn unalazimisha uhudumiwe wewe,matokeo yake mnakwaruzana na wahudumu

NB :Mimi siyo mhudumu wa shishi food
Yote yanawezekana,inawezekana waudumu walikuwa na dharau au huyo mteja ndio mwenye matatizo.
Kuna baadhi ya wateja huwa wanapenda sana kunyenyekewa na kuogopwa hata kama amenunua kitu cha mia tano.
 
Kama si kweli basi si nitaondoka kwenda kwa seller ambae ananipigia magoti na kuniabudi kisha wewe biashara yako inakufa?
Aliyesema mteja ni mfalme hakukosea.
Unatakiwa kadri unavyopata wateja wengi inatakiwa uongeze wafanyakazi. Mteja anatakiwa anapoingia apewe huduma mara moja.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hiyo paragraph ya mwishoni imenichekesha sana
 
Tena unaenda kutangaza au kuwaambia na wengine kuhusu huduma mbovu za sehemu husika Yaani...
Na akianza mteja mmoja husambaza habari kwa wote, shida wahudumu wengine wakiona watu huingiwa na byodo,Mimi hurudi sehemu hyo hyo kukiwa na huduma nzuri hata kama ni mbali sanaa
 

Mkuu wewe unachanganya mambo. Mleta mada kuna sehemu amesema aliwatendea vibaya wahudumu? Ku abuse human beings ni jambo jingine. Hapa hatuzungumzii mteja kudharau wahudumu, tunazungumzia wahudumu kuwapokea wateja wao kwa unyenyekevu. Kama mteja amepokelewa vizuri na mhudumu, halafu mteja analeta dharau au kashfa kwa mhudumu hapo sawa.
Pia kwanini una react sana? Kwenye comment yangu umeona kuna tusi lolote nimekutukana? Kwa jinsi ulivyo jibu comment yangu, inaonesha huwezi kufanya biashara na ikafanikiwa. Kama kitu kidogo hivi una react, vipi kama akija mteja ambaye stress zake? Utaweza kumhudumia?
 
Shishi akifata ushauri huu biashara itamdodea Yani five minutes wahudumu hawakufati loh, mimi naondoka na sirudi tena hapo

Umeongea kweli
Watanzania wengi ni watu wa hovyo kwenye customer care hata hawajui kua mteja sio jukumu lake kukaa akisubiri, inabidi umekaa tu mhudumu huyo!
 
Hujasema kama huyo mhudumu alikuwa M au F maana hao f wengine 'wakielewana' na boss ndiyo hivyo!

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Kuwahudumia wabongo first inabidi uwe Fala , second unatakiwa ufanye investment kubwa kwenye customer care , Tanzania customers are like wild animal, hawaangalii stuation wanajiangalia wao tuu

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Achana nae choko huyo anajifanya matawi kumbe boya furani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye haya maswala kuna pande mbili zenye matatizo.

Upande wa kwanza ni wa Wahudumu wenyewe. Kwamba wanakua na ile hali ya kudharau wateja. Hii inatokea sana pale ambapo mtu hapendi anachokifanya. Yuko pale kwa sababu tu alikosa cha kufanya.


Upande wa pili ni wateja. Hapa napo kuna kipengele. Bongo kuna mteja hata umlambe miguu, atalalamika tu. Mbongo anataka akikupa pesa. Basi akutese nayo. Angalia wahudumu wa Bar wanavyoteseka. Kisa tu mtu katoa elf 5 ya bia mbili anataka amshike na muhudumu sehemu nyeti. Bila kuzingatia kua huyo muhudumu ana haki ya kuheshimiwa.

Kwahiyo hili swala matatzo yake yapo pande zote
 
Bosi wao mwenyewe kichwa chake kibovu, maneno mabovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…