MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 373
- 895
Wazee kwema!
Kuna shemeji/wifi yenu ukiachana na huyo bikra anayebana kutoa uroda ila yeye anataka kuhudumiwa.
Huyu mchumba bhana anamalizia chuo mwaka huu nafikiri mwezi wa 8 au wa 7. Huyu mtoto ananipenda na mimi nampenda ila sijawa tayari kwa kuoa.
Mtoto ni kind, honest pia ni loyal sana hana mambo mengi, hanywi pombe, hapigi mizinga hata kidogo.
Tupo wilaya mbili tofauti ila anakujaga kunitembelea namimi pia naenda kwake kumtembelea anaishi magetoni hayupo hostel.
Huwa naenda kumtembelea kwake mara kwa mara naweza Kaa hata 2 to 3 days and we roll together anywhere we want so inanipa confidence kwamba huyu mchumba hayupo na tabia za kijinga coz asingekuwa na uthubutu wa kuniruhusu kwenda kumtembelea na kulala kwake na kupiga misele mtaani.
Nilikutana naye kimchezo mchezo sana and nilikuwa na mtreat kihuni simpi time wala sikuwa namchukulia serious.
Nilianza kuchange mind na kuwa serious naye baada ya kuona utofauti kati yake na mademu wengine hasa wanachuo kuwa ni ngumu sana kumpata m lady wa chuo akiwa ametulia ni ngumu obvious.
Huyu Binti kwakweli pesa ni mpaka nimpe mwenyewe na vocha ni mpaka nimwambie mwenyewe kwamba nakutumia vocha.
Hana zile baby gas imekata, unga hamna sijui kodi inaisha mwezi fulani kifupi anajua maisha.
Sio kwamba mimi ni bahili ndo mana namsifia huyu manzi hapana ila ni binti anayejielewa na naona kabisa naenda kufanya maamuzi ya kumuoa.
Leo kanishangaza zaidi kanambia akimaliza chuo nimtafutie mishe afanye ili aingize pesa, yani hajaomba pesa ila kaomba kazi. Wow she is very smart and I appreciate her.
WAHUNI MUNGU hutubless sana ila sisi ndo tunavuruga tu.