Wahuni si watu wazuri wamemharibia ndoa Ally Kamwe

Mzee acha uwoga
 
Kuna wanaume tuna tabia ya kutaka wanawake wa watu maarufu au wakubwa. Cc angalia idadi ya waliopita na Jokate kuanzia Hasheem Thabeet, Mengi,JPM and Vunjabei. Ukishakuwa maarufu au una hela mkeo na ndoa yako fanya siri.
 
😀😀😀 nakubali mzee ulinzi mwingi
 
Kwa ujumla maisha ya siri ni mazuri ila wengi hawalioni hilo kama ni jambo la kuzingatia, unachosema ni ukweli mtupu.
 
AJACHAPIWA NI MOGOGORO TU MIDOGO,DEMU KAAMUA KURUDI KWAO

Ooooooh..... Hujui dogo hapigi kazi mke akawa na hamu....akabananishwa sehemu watu wakampaka futa. Dogo kagundua kaja juu mke kajibu kazi huwezi halafu unalalamika nini sasa. Dogo katoa talaka 3
 
Wajifunze kwa
1. mc pilipili
2. Nicki wa.2
3. Haji manara
4. Ali Kamwe

Manara ndo ameshazoea yeye anaolea wenzie tu. Huwa yeye anaweza kaa hadi miezi asiguse Mbunye. Mademu zake wanasema pia ana bad smell na hana mvuto kabisa. So wanakula pesa tu halafu mbunye wanapeleka kwa masela. Akigundua anatoa talaka.
 
Tatizo vijana wa siku izi hatuna nidhamu kila kitu tunakijua sisi na tunapenda kuiga maisha ya watu wa ulaya tunaacha kufuata mila na desturi zetu za ki Tanzania,

Mwanamke ni pambo la ndani ya nyumba ww unaenda kumuweka Istagram na Tiktok🙌
 
Huu umbea wote unatoa wapi mtoto wa kiume
 
Tatizo vijana wa siku izi hatuna nidhamu kila kitu tunakijua sisi na tunapenda kuiga maisha ya watu wa ulaya tunaacha kufuata mila na desturi zetu za ki Tanzania,

Mwanamke ni pambo la ndani ya nyumba ww unaenda kumuweka Istagram na Tiktok🙌
Hahaha.......vipi lakini upo tayari kufichwa Mjukuu

Ndiyo maisha yangu Babu yenu 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…