Wahuni si watu wazuri wamemharibia ndoa Ally Kamwe

Baaaasiiiii kunanini tenaaa kwishaaaa..!
 
Dunia hii malofa ni wengi sana, mimi maisha haya hakuna demu atakuja kuniumiza kichwa hata siku moja. Tena naongelea mademu wa aina zote, wapare, wamakonde, wa Guang zhu au Montreal hapa ni ngoma draw. Kwanza sina hizo emotions kabisa
 
Kama ulimkuta kashatumika unategemea wewe ukimuoa ndio atatulia

Your dick inside her isn't the first and won't be the last, especially kama hukumkuta bikra

La pili hiyu dogo Ally kwa mwonekano tu hakuna kitu
 
Kaka hakuna binti alie tumika ni uwezo wako tu bwashee
 
Yaani watu wamesha conclude hivyo, si unajua wabongo mahusiano yakivunjika kosa linakuwa la mwanamke.
 
Anafata nyayo za kaka ake manara muacheni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…