prince alex khalifa
JF-Expert Member
- Aug 20, 2025
- 424
- 498
Mbona hao ulio wataja wake zao wanafahamikaBinafsi sipendi hizo mbanga za kuwekana wazi kama bendera, n hatari ila wengi hawajui. Kwanini hawajifunzi kwa matajiri zao kina GSM, Hersi na wengineo?
Ulikua unamchukia Sana jpm mkuuKuna wanaume tuna tabia ya kutaka wanawake wa watu maarufu au wakubwa. Cc angalia idadi ya waliopita na Jokate kuanzia Hasheem Thabeet, Mengi,JPM and Vunjabei. Ukishakuwa maarufu au una hela mkeo na ndoa yako fanya siri.
🤣🤣🤣 jamani mbona povuUkute hata hela mboga hujaacha hiome
Huya Dem WA ndug y'all sio mkali Angekua mkali imooooooooNina mpwa wangu kaoa pisi kali, wahuni wameshindwa kumtokea huyo demu, wanaishia kumuambia dogo kuwa hawana cha kumpa huyo demu kwa kuwa dogo ana visenti vya kuchezewa na huyo demu. Dogo kamfungulia mke wake duka la dawa na duka jingine la kuuza vinywaji baridi jumla na rejareja, wana ka usafiri, ka mzunguko cha visenti si haba. Sasa huyu mamsap wa ally ana mapungufu gani mpaka alimwe talaka tatu? Tatizo ni upelekaji wa moto au nini?
Hawafahamiki kwa kiwango cha anavyofahamika wa kamwe.Mbona hao ulio wataja wake zao wanafahamika
Bro nyamaza wake WA billgate, Jeff bezos? Zari wa diamondNajiamini sababu nimeenda jando. Nyie vijana wa mjini mkiambia ukweli unaanza kulia lia. Tafuta mwanamke yeyote ambae mme wake anaetoa pesa ya kweli mtongoze utaona mziki wake🤣 yani wanawake hadi wanaloga kupata mwanaume anaehudumia unadhani anaweza kizembe akaamuacha mwanaume anaetoa huduma? Mnaachwa mnaotoa elfu 5. Unadhani mke wa GSM mzee unaweza kumng’oa kwa maneno matamu, unajidanganyaaa. Hata kama uwezo wako mdogo hudumia kwa uwezo ulionao na nakuahidi utachompa mkeo utapata mara 10 zaidi ya hio, shida yetu ni uchyoo
MI nime wajuajeHawafahamiki kwa kiwango cha anavyofahamika wa kamwe.
Mkuu weka namba za mkeo tumpime Kama amerizika nawe tajiri I'll uoneshwe hao viumbe ni watu ganiNajiamini sababu nimeenda jando. Nyie vijana wa mjini mkiambia ukweli unaanza kulia lia. Tafuta mwanamke yeyote ambae mme wake anaetoa pesa ya kweli mtongoze utaona mziki wake🤣 yani wanawake hadi wanaloga kupata mwanaume anaehudumia unadhani anaweza kizembe akaamuacha mwanaume anaetoa huduma? Mnaachwa mnaotoa elfu 5. Unadhani mke wa GSM mzee unaweza kumng’oa kwa maneno matamu, unajidanganyaaa. Hata kama uwezo wako mdogo hudumia kwa uwezo ulionao na nakuahidi utachompa mkeo utapata mara 10 zaidi ya hio, shida yetu ni uchyoo
Inabidi uombe Mungu ubahatike kupata Mke mwenye hofu ya MunguMkuu nishaga sema hum wanaume tunatesrka Sana na hatunaga mtetez tenant Kama Hawa matajiri makalio yao kutuchapia tu ipo siku
Niletee mke wa gsm hapa, tarehe waliyooana na picha n.kMI nime wajuaje
Bill gate jeff bezos na diamond mbona mfano hauendani, hao wameachwa sababu wao ndo wamefanya umalaya bro, tena mbele za watu na watu wakaona na wakajua…. Wanawake wa leo sio kama mama zetu. Hoja yangu ni mwanamke kutoka nje ya ndoa sio kawaida, mara nyingi ni matunzo fedha au kitanda, hao uliowaaja wote wameacha wao mume sababu ya uzinzi wa waume zao. Ni wanawake wachache sana unaweza kuwadhalilisha mbele ya wanawake wenzao na wakabaki na wewe. Ila mwanaume ambae hatoi huduma wala matunzo kwa mke wake, hilo ni red flag asee. Ukitunza mwenzako na uwe mwamnifu mwanamke kukuacha au kutoka nje ni ndoto, labda kama umeoa kahabaBro nyamaza wake WA billgate, Jeff bezos? Zari wa diamond
🤣🤣🤣🤣🤣 amejaribiwa hadi na mawaziri sembuse wewe kapuku🤣🤣🤣 tafuta duka la mdada sinza linaitwa Momoz we tumia kiswahili chote unachokijua akikubali leta message hapa ntakupa millioni asubuhi na mapema. Sijivuniii pesa, treat ur wife good bro! Acheni kutesa wake zenu kaka unavuna mikosi tuMkuu weka namba za mkeo tumpime Kama amerizika nawe tajiri I'll uoneshwe hao viumbe ni watu gani
Kwenye ukweli tuseme ukweli jamani yule dada ndo anaowafuata wanaume sio yeye kufuatwa. Ukimfuatilia utaona kila mwanaume akimwona kwenye peak lazma atoke nae inaweza ikawa mambo ya kishirikina pia, yule ni kwamba ni hulka yake. Hashim alivopeak katoka nae, ali kiba, diamond hadi mkuu wa nchi aseee, na nimesoma nae loyola… hadi shule alikua ivo ivo, kumtumia kama mfano ni kama kusema wanaume wote tunapenda kuoa afu mfano ukatumika wa manara aliekubuhu hadi tumemchoka🤣Kuna wanaume tuna tabia ya kutaka wanawake wa watu maarufu au wakubwa. Cc angalia idadi ya waliopita na Jokate kuanzia Hasheem Thabeet, Mengi,JPM and Vunjabei. Ukishakuwa maarufu au una hela mkeo na ndoa yako fanya siri.
Nenda instagram ukaone Juzi walikua ufaransa kufanga kufuli LA milele mnara WA pale Paris mkuuNiletee mke wa gsm hapa, tarehe waliyooana na picha n.k
🤣🤣🤣🤣🤣 amejaribiwa hadi na mawaziri sembuse wewe kapuku🤣🤣🤣 tafuta duka la mdada sinza linaitwa Momoz we tumia kiswahili chote unachokijua akikubali leta message hapa ntakupa millioni asubuhi na mapema. Sijivuniii pesa, treat ur wife good bro! Acheni kutesa wake zenu kaka unavuna mikosi tu
Bill Gates Ali fumaniwa?Bill gate jeff bezos na diamond mbona mfano hauendani, hao wameachwa sababu wao ndo wamefanya umalaya bro, tena mbele za watu na watu wakaona na wakajua…. Wanawake wa leo sio kama mama zetu. Hoja yangu ni mwanamke kutoka nje ya ndoa sio kawaida, mara nyingi ni matunzo fedha au kitanda, hao uliowaaja wote wameacha wao mume sababu ya uzinzi wa waume zao. Ni wanawake wachache sana unaweza kuwadhalilisha mbele ya wanawake wenzao na wakabaki na wewe. Ila mwanaume ambae hatoi huduma wala matunzo kwa mke wake, hilo ni red flag asee. Ukitunza mwenzako na uwe mwamnifu mwanamke kukuacha au kutoka nje ni ndoto, labda kama umeoa kahaba
Bro unaishi wapi? Mke aligundua hili, sio tu kafumaniwa alikuwa anabaka watoto wadogo huko epstein island na jina lake liko kwenye listi. Mke Alivogundua akaomba talaka na akaomba mgao wake wa mali mapema maaana anajua listi ikiwekwa tu wazi anakuja kufilisiwa na kesi za mahakamani. Gates alivoona jau akampa chake na akafunga kabisa na kampuni ya gates foundation iko kwenye hatua ya mwisho ya kufunga vilago na mtoto akawekewa fedha kwenye trust wanasubiri muda wowote bomu kulipukaBill Gates Ali fumaniwa?
Acha kumsema head girl wako sasaKwenye ukweli tuseme ukweli jamani yule dada ndo anaowafuata wanaume sio yeye kufuatwa. Ukimfuatilia utaona kila mwanaume akimwona kwenye peak lazma atoke nae inaweza ikawa mambo ya kishirikina pia, yule ni kwamba ni hulka yake. Hashim alivopeak katoka nae, ali kiba, diamond hadi mkuu wa nchi aseee, na nimesoma nae loyola… hadi shule alikua ivo ivo, kumtumia kama mfano ni kama kusema wanaume wote tunapenda kuoa afu mfano ukatumika wa manara aliekubuhu hadi tumemchoka🤣
Yani me nihangaike kumtoa mpare milima ya upareni kumbadilisha hadi awe wa mjini na shangingi juu nikupe namba kizembe, namwamini ndio na we uhangaike kama nilivohaingaika, kama humjui kwa kukutajia duka tu iyo ni ishara ya kwanza kwamba huwezi kumpata, mpare anashinda serena hyatt dubai mauritius. NimesemaNina kazi za kufanya broo siwezi acha kazi naenda kutongoza I'll unikubali MI mkali we umesema unamuamini nipe namba acha tabia ya maneno mengi bila vitendo Leta namba alafu usiniharibie nipe kwanzia miez tisa kushuka chini takuelekeza uje unifumanie. Kaka achana na hiki kichwa ni levo zingine kabisa huwa sinaga kazi ndogo
Acha kumsema head girl wako sasa
NaniNenda instagram ukaone Juzi walikua ufaransa kufanga kufuli LA milele mnara WA pale Paris mkuu