Wahuni wa CCM na Zitto Kabwe wameungana kumchafua hayati Magufuli. Wana kisasi sababu alizuia mianya yao ya kufanya ufisadi

Hujaweza kujibu swali langu la msingi kwa sababu mpuuzi mkubwa ni wewe.

Hakuna sheria inayowapa PAC wajibu wa kujibu hoja za CAG.Hoja za CAG zinapaswa kujibiwa na serikali ambao ndiyo waliotumia pesa.
Hii umeitoa wapi? Baada ya hoja ya ubadhilifu kutokea PAC wanatakiwa waichunguze serikali kupata ukweli ndio maana ya kuwa na kamati za Bunge zinazoisimamia serikali
 
We nae umejipa shida ya kuamini unaweza kufufua wafu...

Magu kafa and he is burning in hell, hangaika na vitu vilivyo hai achana na mambo ya kuzimu
 
Usinisakame Magufuli alikuwa si mtenda haki, alikuwa mtukanaji, hakuwa mnyenyekevu, alikuwa mjivuni I, mwenye dharau na kebehi
Hizi sifa ni zako Bujibuji tena haswaaaa!, we jamaa kwa comment zako tu ni mjivuni, uko bias hivyo hutendi haki, mtukanaji kupinduki, dharau ndio tusiseme na kebehi ndio kama hizi sasa!!!! Nyani haoni kunduleโ€ฆ
 
Hii umeitoa wapi? Baada ya hoja ya ubadhilifu kutokea PAC wanatakiwa waichunguze serikali kupata ukweli ndio maana ya kuwa na kamati za Bunge zinazoisimamia serikali
Utaratibu ni kwamba CAG anapoibua hoja serikali huwa inapaswa kujibu hoja hizo na hicho ndicho huwa kinafanyika.Serikali ilijibu lini hoja ya 1.5 trilioni?
 
Huu utaratibu umeutoa wapi? Huna unachofahamu
 
ha!haa!haaaa!!!Kwamba hoja za CAG zinapaswa kujibiwa na kamati za bunge!Unanichekesha sana.Kwamba Kigwangalla atafune pesa kupitia tour za urithi festival halafu hoja zikajibiwe na kamati za Bunge!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kuwa serious kidogo basi.
 
Ngoja nikieleweshe. CAG huibua hoja, na kamati za PAC au LAAC hufanya ukaguzi na kisha kutoa ripoti yenye ukweli. Haiwesekani serikali inayochunguzwa alafu ijikague na kutoa majibu. Tumia akili we bwege
 
Wewe ndiye utumie akili, serikali inayokaguliwa na ofisi ya CAG ndio inapaswa kujibu hoja za CAG. PAC na LAAC hazifanyi ukaguzi wowote.
 
Huyu jamaa anatukana watu wakati ni mweupe kichwani๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ