Wahuni wa CCM na Zitto Kabwe wameungana kumchafua hayati Magufuli. Wana kisasi sababu alizuia mianya yao ya kufanya ufisadi

Ngoja nikieleweshe. CAG huibua hoja, na kamati za PAC au LAAC hufanya ukaguzi na kisha kutoa ripoti yenye ukweli. Haiwesekani serikali inayochunguzwa alafu ijikague na kutoa majibu. Tumia akili we bwege
Hivi PAC anayeongelewa hapa ni huyu huyu Makaveli au tumngoje mwingine!
 
Wewe ndiye utumie akili, serikali inayokaguliwa na ofisi ya CAG ndio inapaswa kujibu hoja za CAG. PAC na LAAC hazifanyi ukaguzi wowote.
Hujui kitu we pimbi. Yaani aliyekaguliwa ndie aeleze hoja za CAG?
 
Ngoja nikieleweshe. CAG huibua hoja, na kamati za PAC au LAAC hufanya ukaguzi na kisha kutoa ripoti yenye ukweli. Haiwesekani serikali inayochunguzwa alafu ijikague na kutoa majibu. Tumia akili we bwege
Imagine unanitukana wakati ni mweupe kichwani!😁😁😁
 
Uovu wa matendo ya Magufuli ndicho kinachomchafua. Panda wema utavuna mema
Kwani wewe bujibuji ni cheti feki au mpigaji wa hela ya umma? Hao ndio wanaona uovu wa magufuli. Ila wananchi wa kawaida walifurahi walivyotendewa fisadi na macheti feki wote.
 
Muulize Polepole kwa nini aliingia darasani kuelezea 1.5T zilikuwa bado hazijaiva.
😁😁😁
3o-.jpg
 
Wizi wa trillion 1.5 na zaidi.

Manunuzi ya meli hewa ya Mv Dar es Salaam

Kuwafuga na kuwalea watu wasiojulikana

Kuwajaza watu was kabila lake kila sehemu

Mifisadi na wanasesere wao ndio wanadansi mpigo wa kumchafua magufuli kutoka ubeberuni.
 
Kumbe kuna kundi kubwa la wanasiasa hapa Tanzania wana kinyongo na hayati JPM sababu alisimama kidete kulinda pesa za umma na kuwafanyia makubwa watanzania kwa kipindi kifupi akiwa rais wa JMT.

Kuna kundi la wanaCcm ambao huko nyuma walinufaika na ufisadi kupitia deal kama Epa, Kagoda Escrowa na mizengwe kibao. Ambao baada ya hayati JPM kuingia madarakani aliziba mianya yao na kuwafanya wakose raha kabisa maana walizoea kuwaibia watatanzania

Sasa hivi wanamtumia Zitto kumchafua hayati JPM ili aonekane kama alikuwa kiongozi fisadi na muonevu. Zitto alishughulikiwa na hayati JPM kwa siasa zake za kinafiki za undumila kuwili hiyo hakuwa na nafasi za kupiga dili kama enzi za Jakaya.

My take; Watanzania sio wajinga wameshashutuka juu ya mpango wa kumchafua hayati JPM.
Mwenzako kiroboto skuizi naona ashajipumzikia zake choka mbaya, mtafuteni Mizengopinga mdai katiba mpya na tume huru
 
Kinyume chake ndiyo sahihi.Wewe ndiye huna elimu na unatumia JF kama uwanja wako wa kufanya maonyesho ya ujinga wako.
Hebu soma kifungu cha 38 cha Public Audit Act alafu ndio uje kubishana na wanaume.

Screenshot_20211226-110758.png
 
Hebu soma kifungu cha 38 cha Public Audit Act alafu ndio uje kubishana na wanaume.

View attachment 2058019
Kifungu cha 38 kinasema kuwa kamati za Bunge "zitajadili" ripoti ya CAG na kutoa mapendekezo.Kifungu hiki cha 38 hakijasema kuwa kamati za bunge "zitajibu" hoja za CAG.

Wewe kinachokupa taabu mpaka sasa hivi ni kwamba hujui kazi za kamati za bunge linapokuja suala la ripoti ya CAG.

Kamati za Bunge hazijibu hoja za CAG bali hujadili ripoti ya CAG na kutoa mapendekezo kama kifungu cha 38 kinavyosema.Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Kifungu cha 38 kinasema kuwa kamati za Bunge "zitajadili" ripoti ya CAG.Kifungu hiki cha 38 hakijasema kuwa kamati za bunge "zitajibu" hoja za CAG.

Wewe kinachokupa taabu mpaka sasa hivi ni kwamba hujui kazi za kamati za bunge linapokuja suala la ripoti ya CAG.

Kamati za Bunge hazijibu hoja za CAG bali hujadili ripoti ya CAG na kutoa mapendekezo.Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa.
Kamati zitajadili na kutoa ripoti fool
 
Nimegundua wanasiasa wengi wa Nchi hii ni Majizi ya pesa za Umma.Ila tutamkumbuka sana Magufuli hasa mm binafsi Kwa kz nzuri aliyotufanyia sitabadilika hata siku Moja juu ya huyu Shujaa wa Afrika Mzalendo wa kweli juu ya Nchi yake Tanzania.
Aliifanyia nini Afrika mpaka unamwitab"Shujaa wa Afrika"!!???
 
Kumbe kuna kundi kubwa la wanasiasa hapa Tanzania wana kinyongo na hayati JPM sababu alisimama kidete kulinda pesa za umma na kuwafanyia makubwa watanzania kwa kipindi kifupi akiwa rais wa JMT.

Kuna kundi la wanaCcm ambao huko nyuma walinufaika na ufisadi kupitia deal kama Epa, Kagoda Escrowa na mizengwe kibao. Ambao baada ya hayati JPM kuingia madarakani aliziba mianya yao na kuwafanya wakose raha kabisa maana walizoea kuwaibia watatanzania

Sasa hivi wanamtumia Zitto kumchafua hayati JPM ili aonekane kama alikuwa kiongozi fisadi na muonevu. Zitto alishughulikiwa na hayati JPM kwa siasa zake za kinafiki za undumila kuwili hiyo hakuwa na nafasi za kupiga dili kama enzi za Jakaya.

My take; Watanzania sio wajinga wameshashutuka juu ya mpango wa kumchafua hayati JPM.
Magu alikuwa mpigaji mzuri but kwakuwa amekufa tumuache

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kumbe kuna kundi kubwa la wanasiasa hapa Tanzania wana kinyongo na hayati JPM sababu alisimama kidete kulinda pesa za umma na kuwafanyia makubwa watanzania kwa kipindi kifupi akiwa rais wa JMT.

Kuna kundi la wanaCcm ambao huko nyuma walinufaika na ufisadi kupitia deal kama Epa, Kagoda Escrowa na mizengwe kibao. Ambao baada ya hayati JPM kuingia madarakani aliziba mianya yao na kuwafanya wakose raha kabisa maana walizoea kuwaibia watatanzania

Sasa hivi wanamtumia Zitto kumchafua hayati JPM ili aonekane kama alikuwa kiongozi fisadi na muonevu. Zitto alishughulikiwa na hayati JPM kwa siasa zake za kinafiki za undumila kuwili hiyo hakuwa na nafasi za kupiga dili kama enzi za Jakaya.

My take; Watanzania sio wajinga wameshashutuka juu ya mpango wa kumchafua hayati JPM.
Magufuli alikuwa jizi likubwa llioijificha kwenye uzarendo fake. Subiri mda utaongeza zaidi. Miradi mikubwa ya kifisadi ilikuwa ni ya kujinufaisha binafsi mfano Chato airport ilijengwa na kampuni yake binafsi kinygume cha taratibu. Aliogopa sana upinzani bungeni kwani ungeibua uovu wake ndio maana alinajisi chaguzi za 2019 na 2020
 
Ndiyo.Kamati zitajadili na kutoa ripoti,lakini siyo kujibu hoja za CAG.Kujadili na kutoa ripoti haimaanishi kuwa ni kujibu hoja za CAG.Hivi ni vitu viwili tofauti.
Nini maana ya consolidated report? Huna akili mpiga kelele usie na elimu. Consolidated report ndio inakuwa na majibu ya querries
 
Nini maana ya consolidated report?Consolidated report ndio inakuwa na majibu ya querries
Ni kweli kabisa consolidated ripoti ina majibu ya hoja lakini hoja hizo hazijajibiwa na kamati ya Bunge.Ni hoja zilizojibiwa na upande wa Serikali.
 
Back
Top Bottom