Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #121
Uoga huo hadi majumbani na mitaani?Alipandikiza uoga ili asisemwe, ila ukweli huo unafahamika na watu walikuwa wanazungumza kimyakimya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uoga huo hadi majumbani na mitaani?Alipandikiza uoga ili asisemwe, ila ukweli huo unafahamika na watu walikuwa wanazungumza kimyakimya.
Wewe ulishuhudia kwa macho yako? Au ndio habari za kusikia mitaani na kukariri?
Sukuma gangNimegundua wanasiasa wengi wa Nchi hii ni Majizi ya pesa za Umma.Ila tutamkumbuka sana Magufuli hasa mm binafsi Kwa kz nzuri aliyotufanyia sitabadilika hata siku Moja juu ya huyu Shujaa wa Afrika Mzalendo wa kweli juu ya Nchi yake Tanzania.
Uoga huo hadi majumbani na mitaani?
Haya sasaivi kasha kufa hakuna uoga tena, pitahuko mitaani elezea huo ufisadi mmnaoujua alafu ujeuseme katika watu mia % ngapi wamekujibu nini.Alipandikiza uoga ili asisemwe, ila ukweli huo unafahamika na watu walikuwa wanazungumza kimyakimya.
Haya sasaivi kasha kufa hakuna uoga tena, pitahuko mitaani elezea huo ufisadi mmnaoujua alafu ujeuseme katika watu mia % ngapi wamekujibu nini.
Unajidanganya ndugu yanguMajumbani na mitaani ukweli huo unasemwa, na huku mitandaoni ndio funga kazi.
Umeandika nini sasa hapa?!Hii ni funika kombe mwanaharamu apite?Mpaka sasa umejivua nguo maana kila kitu kipo wazi, Audit querries huibuliwa na baada ya consolidated report ya Parliament watcdog commitee kusomwa bungeni majibu hupatikana.
Unajidanganya ndugu yangu
Wewe ni cheti feki, sioni logic yoyote kwenye hizo post zenu za tuhuma za ufisadi kwa magu.Labda huko mtaani kwenu walikojaa mazoba, mtaani kwetu kuna waelewa wengi, na ukimwambia kitu anapima logic yake na dakika ya mwisho anapima logic na fact ilipo. Sasa ww unanitishia na watu wa mtaani wenye upeo mdogo wa mambo.
Wewe ni cheti feki, sioni logic yoyote kwenye hizo post zenu za tuhuma za ufisadi kwa magu.
Logic gani mnapima na hao vilaza wenzako huko mtaani kwenu, nihiyo tr 1.5.
Ivi unafahamu wingi wa pesa kama hiyo? Ingekuwa nikSweli kunaufisadi kama huo watu wanao watuma kumchafua marehemu sasahivi kila ushahidi ungeweka wazi na msinge kuwa mnahangaika kuungaunga ujinga ilikutafuta logic za hovyo wanazo ziamini hao mazoba wenzako huko mtaani kwenu.
Acheni kupambana na marehemu,somesheni watotowenu wapate vyeti halali yasije yakawakuta yaliyowakuta nyinyi.
Kuna zile til.1.5 na bil.800 huko Canada ,ni za nani mkuu mbona unajikuna?Kumbe kuna kundi kubwa la wanasiasa hapa Tanzania wana kinyongo na hayati JPM sababu alisimama kidete kulinda pesa za umma na kuwafanyia makubwa watanzania kwa kipindi kifupi akiwa rais wa JMT.
Kuna kundi la wanaCcm ambao huko nyuma walinufaika na ufisadi kupitia deal kama Epa, Kagoda Escrowa na mizengwe kibao. Ambao baada ya hayati JPM kuingia madarakani aliziba mianya yao na kuwafanya wakose raha kabisa maana walizoea kuwaibia watatanzania
Sasa hivi wanamtumia Zitto kumchafua hayati JPM ili aonekane kama alikuwa kiongozi fisadi na muonevu. Zitto alishughulikiwa na hayati JPM kwa siasa zake za kinafiki za undumila kuwili hiyo hakuwa na nafasi za kupiga dili kama enzi za Jakaya.
My take; Watanzania sio wajinga wameshashutuka juu ya mpango wa kumchafua hayati JPM.
Barikiwa sana wakati wazushi kama kimsboy wakilaaniwaNimegundua wanasiasa wengi wa Nchi hii ni Majizi ya pesa za Umma.Ila tutamkumbuka sana Magufuli hasa mm binafsi Kwa kz nzuri aliyotufanyia sitabadilika hata siku Moja juu ya huyu Shujaa wa Afrika Mzalendo wa kweli juu ya Nchi yake Tanzania.
Kama hii hapa 👇Nimegundua wanasiasa wengi wa Nchi hii ni Majizi ya pesa za Umma.Ila tutamkumbuka sana Magufuli hasa mm binafsi Kwa kz nzuri aliyotufanyia sitabadilika hata siku Moja juu ya huyu Shujaa wa Afrika Mzalendo wa kweli juu ya Nchi yake Tanzania.
Uthibitieho huu hapa 👇Thibitisha huo wizi wa 1.5 trilion.
We shoga umeolewa?Mtoa uzi ni msengelema samahani lakini ashakumu si matusi
UDIKTETASema uovu mmoja aliofanya
Ungeeleweka sana kama watu hawakupigwa marisasi, kutolewa silaha hadharani, kuokotwa kwenye viroba, kutumia pesa za umma kununua wapinzani kuwapachika madaraka huku akiwatosa wanaccm wenzake waliomweka madarakani, watu kutekwa, watu kuuliwa, kupotezwa, kuuliwa kwa demokrasia, ukiukwaji wa haki za binadam, ukabila uliopitiliza nk nk. JPM haeleweki kutokana na maovu yake na kuusudu udikteta na hata kama kuna mema aliyafanya kamwe hayatokuwa na maana sababu yanafunikwa na uovu mwingi wa kutisha aliowafanyia wananchi.Kumbe kuna kundi kubwa la wanasiasa hapa Tanzania wana kinyongo na hayati JPM sababu alisimama kidete kulinda pesa za umma na kuwafanyia makubwa watanzania kwa kipindi kifupi akiwa rais wa JMT.
Kuna kundi la wanaCcm ambao huko nyuma walinufaika na ufisadi kupitia deal kama Epa, Kagoda Escrowa na mizengwe kibao. Ambao baada ya hayati JPM kuingia madarakani aliziba mianya yao na kuwafanya wakose raha kabisa maana walizoea kuwaibia watatanzania
Sasa hivi wanamtumia Zitto kumchafua hayati JPM ili aonekane kama alikuwa kiongozi fisadi na muonevu. Zitto alishughulikiwa na hayati JPM kwa siasa zake za kinafiki za undumila kuwili hiyo hakuwa na nafasi za kupiga dili kama enzi za Jakaya.
My take; Watanzania sio wajinga wameshashutuka juu ya mpango wa kumchafua hayati JPM.