Respect Kwako,
Kuna brother angu mmoja alienda huko akapata mchongo kuingia jeshi la waasi..
Kuna kitu anisimulia..Kuna dawa za kienyeji zinachemshwa kwenye pipa maji pokopoko..unavua nguo unaingia kwa maelekezo ya mganga..
Anaanza yeye mganga anazama kwenye waji...anawathibitishia..then nyie mnaingia kwenye maji mnapikwaa dawa
Then.
Linafuata zoezi la kutest kukatwa na panga, risasi e.t.c yaan unakua IMMORTAL ukipigwa risasi hazipitii..ukikatwa panga halipiti..
Alinisimulia pia walikua wanavamia vijiji na kushambulia raia na mali ZAO yaan Kama muvi vileee
Mkuu ,
Unaweza kujazia nyamaa... kuhusu risasi kupenya mwilini.