jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Kama wahuni wanaosemwa na Ndugu Polepole wakiachwa tutashuhudia kila kitu kinapanda bei na kila inayoitwa leo tutashuhudia upuuzi tuliowahi kuondokana nao.
Bei ya mafuta ya kula na ya magari zitapanda kwa saabu ya wahuni.
hii itapelekea chaos nchini kwa kupanda kwa kila bidhaa na gharama za maisha..Tukumbuke kuwa wahuni walidhibitiwa vilivyo sasa wanataka warudishe faida waliyokosa.