Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Kama lile chizi halipo ikulu basi ngoja litokee lolote poa tu.Kama wahuni wanaosemwa na Ndugu Polepole wakiachwa tutashuhudia kila kitu kinapanda bei na kila inayoitwa leo tutashuhudia upuuzi tuliowahi kuondokana nao.
Bei ya mafuta ya kula na ya magari zitapanda kwa saabu ya wahuni.
hii itapelekea chaos nchini kwa kupanda kwa kila bidhaa na gharama za maisha..Tukumbuke kuwa wahuni walidhibitiwa vilivyo sasa wanataka warudishe faida waliyokosa.ka