Kweli kabisa kama mafuta ya kupikia yamepanda mara tatu mfululizo, huu nao ni uhuni.Kama wahuni wanaosemwa na Ndugu PolePole wakiachwa tutashuhudia kila kitu kinapanda bei na kila inayoitwa leo tutashuhudia upuuzi tuliowahi kuondokana nao.
Bei ya mafuta ya kula na ya magari zitapanda kwa saabu ya wahuni.
hii itapelekea chaos nchini kwa kupanda kwa kila bidhaa na gharama za maisha..Tukumbuke kuwa wahuni walidhibitiwa vilivyo sasa wanataka warudishe faida waliyokosa.
Dikteta alikuwa msela maviKama wahuni wanaosemwa na Ndugu PolePole wakiachwa tutashuhudia kila kitu kinapanda bei na kila inayoitwa leo tutashuhudia upuuzi tuliowahi kuondokana nao....
Kama nchi inaongozwa na wazarendo hata katiba siyo muhumu,nyerere aliwai kusema katiba tuliyo nayo sasa ni hatari kama nchi itapata viongozi wasio wazarendo nani nzuri kama nchi itapata kiongozi mzarendoHii mbona kama inaleta tafsiri kwamba CCM wote ni wahuni tu, Polepole aliongea nini kuhusu katiba mpya kabla hajapata uteuzi CCM, leo anaongea nini baada ya kukosa uteuzi CCM, hichi chama kila anayekosa ulaji basi anaona wenzake Wahuni.
Huyo ni kundi la wahuni no moja pamoja na huyu house girl wa mkwereHao wahuni inaonekana yule jamaa anaitwa Nape naye yumo kundi hilo?.
Nani unayemuona Mzalando kwa sasa Chief? Maneno na matendo yao havilingani hata kidogo.Kama nchi inaongozwa na wazarendo hata katiba siyo muhumu,nyerere aliwai kusema katiba tuliyo nayo sasa ni hatari kama nchi itapata viongozi wasio wazarendo nani nzuri kama nchi itapata kiongozi mzarendo
Kuna uwezekano mkubwa sanaHao wahuni inaonekana yule jamaa anaitwa Nape naye yumo kundi hilo?.
Kama wahuni wanaosemwa na Ndugu Polepole wakiachwa tutashuhudia kila kitu kinapanda bei na kila inayoitwa leo tutashuhudia upuuzi tuliowahi kuondokana nao.
Bei ya mafuta ya kula na ya magari zitapanda kwa saabu ya wahuni.
hii itapelekea chaos nchini kwa kupanda kwa kila bidhaa na gharama za maisha..Tukumbuke kuwa wahuni walidhibitiwa vilivyo sasa wanataka warudishe faida waliyokosa.
Inshort MaCCM yote ni madhalimu full stop.Kama wahuni wanaosemwa na Ndugu Polepole wakiachwa tutashuhudia kila kitu kinapanda bei na kila inayoitwa leo tutashuhudia upuuzi tuliowahi kuondokana nao.
Bei ya mafuta ya kula na ya magari zitapanda kwa saabu ya wahuni.
hii itapelekea chaos nchini kwa kupanda kwa kila bidhaa na gharama za maisha..Tukumbuke kuwa wahuni walidhibitiwa vilivyo sasa wanataka warudishe faida waliyokosa.
Sabaya na Bashite piaHao wahuni inaonekana yule jamaa anaitwa Nape naye yumo kundi hilo?.
Na wahuni ni wana CCM ,na wataendelea kutamba sababu wanalindwa na doraKama wahuni wanaosemwa na Ndugu Polepole wakiachwa tutashuhudia kila kitu kinapanda bei na kila inayoitwa leo tutashuhudia upuuzi tuliowahi kuondokana nao.