Wahuni wakiachwa watambe bei za kila kitu zitapanda

Kama lile chizi halipo ikulu basi ngoja litokee lolote poa tu.
 
Mpaka uterezi(Dsm economic indicator) umepanda bei!
Hawa jamaa ni hatari.
 
Hii mbona kama inaleta tafsiri kwamba CCM wote ni wahuni tu, Polepole aliongea nini kuhusu katiba mpya kabla hajapata uteuzi CCM, leo anaongea nini baada ya kukosa uteuzi CCM, hichi chama kila anayekosa ulaji basi anaona wenzake Wahuni.
Wote wahuni tu,haka ka chalii katuambie katarudishaje pesa za umma kalizonunulia wapinzani kakidai wanaunga juhudi
 
Yaaani kikundi cha watu wachache sana kinatutaabisha waTanzania zaidi ya Milioni 50.
Hakuna huruma,uzalendo wala Imani kwakweli,Maisha yanazidi kuwa Magumu kwa wananchi wa Hali ya chini.
 
Hakuna chaos itakayotokea kwa sababu ya kupanda bei vitu. Watanzania ni watu wajinga sana, au nasena uongo jingalao?
 
Bei zilianza kupanda kipindi cha yule kiongozi muovu ambaye Mungu kamuondoa bila damu kumwagika. Ukitaka kuleta propaganda mfu uwe na kumbukumbu ya hayo, maana ushahidi upo.
Moja ya sababu ya upinzani kutokuja kushika hii nchi ni upumbavu wa kupambana na Hayati Magufuli kufa na kupona kuliko utawala uliopo. Wewe kila thread ni Magufuli Magufuli Magufuli.......Ulishawahi jiuliza matokeo ya hizi chuki zako dhidi ya Hayati?
 
Wahuni ndio wakubwa kwenye chama na serikali sasa hivi, kwa hiyo makapuku tutegemee maumivu tu.
 
Moja ya sababu ya upinzani kutokuja kushika hii nchi ni upumbavu wa kupambana na Hayati Magufuli kufa na kupona kuliko utawala uliopo. Wewe kila thread ni Magufuli Magufuli Magufuli.......Ulishawahi jiuliza matokeo ya hizi chuki zako dhidi ya Hayati?

Kushika dola nchini hakuhitaji kujinyenyekeza kwa magu, bali ni kuwa na mbeleko ya vyombo vya dola. Ulipaswa kumkanya aina yake chafu ya utawala, saa hii tunatoa mrejesho tu wa utawala wake mbovu. Hivyo ukae kwa kutulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…