WAHUNI WAMEPUNGUA SIKU HIZI, NINI SABABU?

WAHUNI WAMEPUNGUA SIKU HIZI, NINI SABABU?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Kama umekaa kwa miaka mingi town utaona kabisa wahuni wamepungus sana, Kwenye kundi la wahuni kuna wababe wa mtaani, vibaka, matapeli, n.k Zamani kesi za vibaka zilikuwa nyingi sana kuzidi sasa, waonezi na wababe walikuwa wengi sana 80 na 90s kuzidi sasa, kwa mtazamo wangu nnaona labda kukua kwa elimu nchini kumepunguza sana tatizo la wahuni,
Una lipo la kuongeza?
 
Sikuhz mbabe mwenye hela tu...heshima imerudi mifukoni sio kifua kikubwa misuli utakua mlinzi..
Uhuni aunadili pia watu wameona kama mbabe, muhuni pigana na maisha sio watu...new era
 
Kama umekaa kwa miaka mingi town utaona kabisa wahuni wamepungus sana, Kwenye kundi la wahuni kuna wababe wa mtaani, vibaka, matapeli, n.k Zamani kesi za vibaka zilikuwa nyingi sana kuzidi sasa, waonezi na wababe walikuwa wengi sana 80 na 90s kuzidi sasa, kwa mtazamo wangu nnaona labda kukua kwa elimu nchini kumepunguza sana tatizo la wahuni,
Una lipo la kuongeza?

Kwani Bangi, Unga na Gongo sasa zimeongezeka hasa ' nyakati ' hizi Mkuu?
 
Huku kwa mama zakaria mwananYamala wengi wamekuwa watu wazima age inawapa busara na Vijana wa kileo kama unavYojua kwao ujanja ni kuvaa nusu uchi na nguo za kuchanika sio kukaba
 
Back
Top Bottom