HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,328
- 1,666
Africa, tuna shida kubwa hata naona aibu to be called so. Ona Congo, wazungu wanatupiganisha wanaiba, kwetu wanawatumia hao mnaowaita wahuni, Sudan wanatumia RSFNa wakifanikiwa kupita na style hii ya form moja, ujue hata 2030 ndio itakuwa mtindo "give an inch, take a mile" msemo wa wazungu huu.
Ni kweli adui wa mwafrika ni mwafrika mwenzake, hii trend huwezi kuiona kwa wahindi, wachina, wazungu au waarabu ni nadra sana, watu wenye hizo asili kuwauza watu wa asili yao hasa kwa waafrika, kidogo muarabu kumuuza muarabu kwa mzungu lakini sio kwa mwafrika sema ni nadra, ila kwetu sisi ni kugusa tu.Africa, tuna shida kubwa hata naona aibu to be called so. Ona Congo, wazungu wanatupiganisha wanaiba, kwetu wanaotumia hao mnaiwaita wahuni, Sudan wanatumia RSF
Ukweli sifahamu hilo mkuuEti kweli kwamba wakuu wachache wa mipaka wamepewa magari mazuri yake ili wakae kimya, naota tu, Kuna waotaji wengi zaidi yangu, wanatoa kweli kweli Sasa hivi
wahuni wengi wana account abroad, tunauzwa kirahisi sana kwenye hiyo gusa achia. Waarabu nao wamewezwa kwa asilimia kubwa wanapiganishwa tuNi kweli adui wa mwafrika ni mwafrika mwenzake, hii trend huwezi kuiona kwa wahindi, wachina, wazungu au waarabu ni nadra sana, watu wenye hizo asili kuwauza watu wa asili yao hasa kwa waafrika, kidogo muarabu kumuuza muarabu kwa mzungu lakini sio kwa mwafrika sema ni nadra, ila kwetu sisi ni kugusa tu.
Wasichotambua wanaojiita wahuni ni kwamba, kabla yao alikuwepo mobutu seseseko naye alijipendekeza sana kwa wazungu, pesa alikuwa anaiba congo ana hifadhi belgium na uswisi, alivyokufa tu mali ikawa ya wazungu, wahuni pia siamini kama pesa wanazoiba wanazihifadhi humu ndani, lazima wanazipeleka nje halafu wote tunaonekana hatuna maana watu weusi, kumbe ni malimbukeni wachache.
Hiyo ya kuhusu congo, kwamba wanatupiganisha wazungu, ni baada ya kutupima uwezo wetu wa kufikiri na kugundua ni mdogo, halafu tumekalia almasi, wanajiuliza kwanini tusichukue?
Utawala wa sa100 ni hasara kwa taifa, mbaya zaidi wahuni wanataka aendelee kusudi waendelee kufanya uhuni wao kwa uhuru kabisa pasipo bugudha!!.Nyumba haina mwenyewe.
By H. Polepole