kigwenje JF-Expert Member Joined Sep 13, 2018 Posts 277 Reaction score 224 Apr 16, 2024 #1 Kuna hii njia yakutokea kwamnyamani, kwenda vingunguti, tabata,mpaka kwengineko, hii njia nifinyu, kwa wapita njia, twaomba mtusaidie.
Kuna hii njia yakutokea kwamnyamani, kwenda vingunguti, tabata,mpaka kwengineko, hii njia nifinyu, kwa wapita njia, twaomba mtusaidie.
Witch hunter JF-Expert Member Joined Nov 21, 2018 Posts 2,106 Reaction score 5,806 Apr 16, 2024 #2 Tununue magari tu mkuu. hamna namna. ccm ni ileile