Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 233
- 298
Wakuu,
Aisee muda wote nilipokuwa naona hawa watu wanaiba mafuta nilijua ni ile ya kiwiziwizi tu kumbe ni mchongo kati ua dereva na hawa vibaka. Bosi unapigwa kila siku huku watu wanajifanyia yao.
Katika harakati za maisha mjini barabara ya Mandela hii kwenye foleni nikaona huyo mwamba anajaribu kufungua ili achote mafute, basi nikachukua ka simu kangu nichukue hilo tukio lengo nimdake huyo mwizi, si ndio mwishoni kwa mshagao wangu jamaa alipomaliza kampa ishara dereva kuwa tayari nishamaliza, nashukuru mkuu.
Hii ni hatari, muda wowote kinaweza kikawaka hapo na wewe maskini huna moja wala mbili unaenda kusaka ugali wako unawaka moto, wanakutanguliza kwa Sir God mapema.