Waiba mafuta kwenye malori na madereva lao moja

Waiba mafuta kwenye malori na madereva lao moja

Hamna tank inatengenezwa kimkakati, hakuna maneno yyte zaidi, hayo ni mabaki tu ya mafuta, anayeshusha wala dreva hawana makusudi ya kuyauza au kugawa mabarabarani.
2. Hiko kitendo si sahihi ni hatarishi. Haswa hapo ni barabarani. Chchte kinaweza tokea.

3. Kuwaka moto hata wewe upite na kilipushi chchte karibu na hyo tank hautokua sahihi kiusalama.

4. Vijana hao ni watafutaji, hiyo tanker walau imeachia mdomo mmoja. Vijana hao huwa hawaelewi, wanatakaga wajaribu kabisa. Hii hupelekea kuharibu koki, of which ni gharama kurepair na muda . Maana jamaa anategemea aende arudi abebe aondoke tena.
Hivo huachia koki moja au mbili bila kupiga kufuri wakati wakurudi. Ila wakwenda huwa zote Ziko sealed hizo.
 
Jamaa wa comment ya kwanza anamkosoa mtoa mada na amejipa ID ya cheo cha Udoctor kabisa, Sasa huyo mgonjwa anaekuwa na bahati mbaya ya kukutana na huyo jamaa sijui inakuwaje hali yake.
 
Tatizo lipo katika hicho wanachofanya ila tatizo kubwa zaidi lipo kwako kuandika mada kinafiki ikiwa huna uelewa nacho.

JF inapitiwa na wengi ikiwemo wamiliki wa hayo matanker. Kitendo cha kuandika kuwa wezi wanashirikiana na madereva ni shutma nzito zinazoweza kugharimu kazi za watu.

Japo video yako haijaonyesha namba ha gari lakini kuna watu wana alama zao kwenye magari yao, kuweka hiyo video tu mwenye gari anaweza kujua ni la kwake kupelekea kuchukua video yako kama ithibati ya wizi wa dereva wake na kumfukuza kazi.

Ingekuwa na mantiki zaidi ungejikita kwenye athari ya kinachoweza kutokea katika uzembe unaofanywa na hao vijana wanaochukua mafuta sio kushtumu madereva kuwa washirika wa wizi.

Mengine ruhusu ya kupite ndugu utaona maisha yatakuwa mepesi zaidi.
Vuta picha una record video kwenye hicho kibajaj chako halafu kibaka anakwapua simu. Huoni itakuwa umepata hasara kwa umbea usiokuwa na tija?
 
Wana JF sio watu wazuri. Mmempopoa snitch wa watu kama mwewe.

Jamaa kaacha usingizi wake aandike hot news halafu mnaishia kumshushua.

Ila mtoa mada umekosea sana kuhusisha madereva na wizi ikiwa huna unachokijua.
 
Hayo ni yale mafuta ya chini kabisa yaliyobakia baada ya kupakuliwa...
 
Sijaona sababu ya mtoa maada kutukanywa, zaidi inanikumbusha tu kwamba zile takwimuu za Saba kati ya kumi wanatakiwa wakamuone Dr wa milembe ni kweli kabisakabisa,,,,,Mungu atusaidie
 
Kukasilika bila sababu ya msingi ,,,,
Kujiona uko sahihi kupita wengine,,,,
Kufokafoka ovyo,,,,,

Zote ni dalili
 
Hayakuhusu, Fanya yako.

Hao wanakinga Mabaki ya kwenye tank wakati gari imeshatoka kushusha mzigo.

Mkishanunuwa vitecno vyenu basi inakuwa shida mjini hata sehemu ya kutowa msaada washamba kama wewe mnaanza kurecord video
Kwa maana hii unaruhusu huu ujinga kweli waTanzania ni hovyo. Ndio maana unaID ya kitopolo!
 
Back
Top Bottom