Aisee muda wote nilipokuwa naona hawa watu wanaiba mafuta nilijua ni ile ya kiwiziwizi tu kumbe ni mchongo kati ua dereva na hawa vibaka. Bosi unapigwa kila siku huku watu wanajifanyia yao.
Katika harakati za maisha mjini barabara ya Mandela hii kwenye foleni nikaona huyo mwamba anajaribu kufungua ili achote mafute, basi nikachukua ka simu kangu nichukue hilo tukio lengo nimdake huyo mwizi, si ndio mwishoni kwa mshagao wangu jamaa alipomaliza kampa ishara dereva kuwa tayari nishamaliza, nashukuru mkuu.
Hii ni hatari, muda wowote kinaweza kikawaka hapo na wewe maskini huna moja wala mbili unaenda kusaka ugali wako unawaka moto, wanakutanguliza kwa Sir God mapema.
Wambea utawajua tu hata vitu vya kipuuzi unavifuatilia aliyekwambi pale anaiba mafuta ni nani hivi mafuta yanaibwa hadharani kizembe vile .... yale ni mabaki ingekuwa mafuta yana waka kirahisi kama ulivyo elezea magari yasinge bebq mafuta kabisa ..... kuna vitu ukivijulia ukibwani tena mjini ni tabu kweli kweli

Acha ushamba na ujinga kitu km hujui ni bora ukauliza kuliko kujifanya mjuaji hilo tanker linakua limetoka kushusha so huyo anaechuja anachuja yaliyobaki tu je ulishawah kuona gari inayoenda safari wanafanya hv nyie watu wengine wapumbavu kweli

Sio sahihi ila jamaa katoa taarifa za kikuda na kijinga halaf ukiona tanker ambazo wanatoa mafuta hivyo ni zile tanker zilizotengenezwa nchini au kenya coz hua hazimalizi mafuta yote lkn tanker ya south africa au iliyotoka china uturuki huwez kukuta wanafanya hv coz ukishusha znamaliza mafuta yote

Mwenyewe umecomment bonge la jiwe. Kama kuna tobo kwenye uzi wa mtu si unaweka sawa na kueleza vizuri watu waelewe....kutetea ujinga unaoweza kuleta madhara kwakuwa tu hayo ni mabaki kama ulivyoeleza sio sawa

Ilibidi ueleze kwa sisi tuliokuwa hatujui hili tuelewe na uongeze elimu kama hivyo kuwa za tz zinatengenezwa kimkakati, kumshambulia mtu kwa matusi na kejeli hakukufanyi kuwa mwamba wala nini