benazirjosemarie
JF-Expert Member
- Dec 22, 2021
- 298
- 539
Mm napenda kiwake tu ili wafe wengiKwahiyo kwa kitendo hiko anakuwa anasaidi kusafisha tenki? Tuyaache hayo....kitendo hicho ni salama au la...ndio nyie nyie kikiwaka mnaanza kulaumu mamlaka wakati mnatetea wenyewe ujinga
Kwa hiyo hilo lori hapo likiwaka moto yeye hapo alipo haimuhusu eti??Yakiwaka moto ww ina kuhusu nn?
Anahusika km nani?Kwa hiyo hilo lori hapo likiwaka moto yeye hapo alipo haimuhusu eti??
Magari yako foleni lori la mafuta liwake moto na yeye yuko nyuma ya lori alafu unasema anahusika kama nani?
Sasa akifa si anakua kafa anapunguza joto dunianiMagari yako foleni lori la mafuta liwake moto na yeye yuko nyuma ya lori alafu unasema anahusika kama nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo ni babe wa mtu anatafuta hela ya rejesho kashaombwa
Basi nimeshaelewa naongea na mtu aina gani
Kwa maana hii unaruhusu huu ujinga kweli waTanzania ni hovyo. Ndio maana unaID ya kitopolo!Hayakuhusu, Fanya yako.
Hao wanakinga Mabaki ya kwenye tank wakati gari imeshatoka kushusha mzigo.
Mkishanunuwa vitecno vyenu basi inakuwa shida mjini hata sehemu ya kutowa msaada washamba kama wewe mnaanza kurecord video