Waif ananibana - Ati nichague JF au yeye

Ombea usije kukutana live na Bujibuji, mpole, anaongea taratibu, nyie mnacheka yeye anaendelea kuwachekesha. Jana was very good day, Buj made my day
 
Mpe muda wake na yeye atakupa muda wako. na usiingie JF wakati uko kitandani utakuwa unamuibia muda wake yeye. tatizo wewe unakazania JF masaa yote hapo ndio unachemsha, usione wenzako mida fulani tunapotea ukadhani ndio hatupendi JF majukumu ya kijamii pia unazingatia. pole mkuu
 
Mama watoto wangu ananibana sana, hataki kuniona niko busy na na simu, anasema nichague kimoja, eidha JF au yeye. Ili niingie JF ni lazima niingie toilet, maana kinyume na hapo ni ugomvi mkubwa, simu zinavunjwa na amani inatoweka kwa wiki mbili unaweza usiitikiwe salamu yako.
Duh....! Kumbe kujisaidia ni raha kwa wengine? Basi itakubidi kila siku udanganye unaharisha..... Hahahahahah...

Dah.... Kumbe watu wana reference za JF?
 
Mpe muda wake na yeye atakupa muda wako. na usiingie JF wakati uko kitandani utakuwa unamuibia muda wake yeye. tatizo wewe unakazania JF masaa yote hapo ndio unachemsha, usione wenzako mida fulani tunapotea ukadhani ndio hatupendi JF majukumu ya kijamii pia unazingatia. pole mkuu

we dume au jike?
Jamani bujibuji ni faza wa vituko, mwaka jana niliprint thread zake, kila nikiwa bored nikawa nafungua zile print outs
 
yani siyo ww kaka mimi mpaka na ugomvi mkubwa ulitokea na mara ya kwanza alikuwa ana hisi nachat na demu ikawa ugomvi mpaka basi lakini kashaanza kuzoea saizi
 
Ni saa kumi na moja alfajiri niko uwanja wangu wa kujidai a.k.a toilet

Muda huu tayari uko maeneo ya kujidai (Chooni) kisa waif ana wivu na JF. he he he Hebu mpe waif darasa bana BjBj
 
we dume au jike?
Jamani bujibuji ni faza wa vituko, mwaka jana niliprint thread zake, kila nikiwa bored nikawa nafungua zile print outs
Jamani mie nina uke sina uume mbona watu mnani confuz hivi? ndio maana sipati PM za kutosha lol
 
yani siyo ww kaka mimi mpaka na ugomvi mkubwa ulitokea na mara ya kwanza alikuwa ana hisi nachat na demu ikawa ugomvi mpaka basi lakini kashaanza kuzoea saizi
Wakwangu huwa anafanya kushitukiza kuja kuangalia kwenye screen ya simu bahati mbaya akija anakuta niko jukwaa la siasa....
 
Kwa nini anataka uchague? Ukiona hivyo kuna kitu anakosa and you are luck man kama mkeo yuko tayari kukupa option hiyo, wenzako hawapew! The best thing to do is to compromise with here, then as Lizzy said, you will enjo both!
 
Ni saa kumi na moja alfajiri niko uwanja wangu wa kujidai a.k.a toilet

hiyo avatar yako inanikumbusha huyo mwigizaji wa nigeria,huyu bwamna huwa kiboko,namfahamu kwa jina la kisanii la JIMY nafikiri anaweza kuwa no 1 kwa uigizaji afrika ni mwisho wa maneno, safi sana
 
Mama watoto wangu ananibana sana, hataki kuniona niko busy na na simu, anasema nichague kimoja, eidha JF au yeye. Ili niingie JF ni lazima niingie toilet, maana kinyume na hapo ni ugomvi mkubwa, simu zinavunjwa na amani inatoweka kwa wiki mbili unaweza usiitikiwe salamu yako.

hahaha! Uingie jf ukiwa chooni! Vituko havikuishi. Lol!
 
Back
Top Bottom