Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #41
Ni saa kumi na moja alfajiri niko uwanja wangu wa kujidai a.k.a toilet
Duh....! Kumbe kujisaidia ni raha kwa wengine? Basi itakubidi kila siku udanganye unaharisha..... Hahahahahah...Mama watoto wangu ananibana sana, hataki kuniona niko busy na na simu, anasema nichague kimoja, eidha JF au yeye. Ili niingie JF ni lazima niingie toilet, maana kinyume na hapo ni ugomvi mkubwa, simu zinavunjwa na amani inatoweka kwa wiki mbili unaweza usiitikiwe salamu yako.
Dah.... Kumbe watu wana reference za JF?"
Topic: Am l useless person kwa kuwa nimeachwa na mwanamke na nimefukuzwa kazi?
https://www.jamiiforums.com/mahusia...imeachwa-na-mwanamke-na-nimefukuzwa-kazi.html
Leo yamekuwaje? Umeshapata kazi?
Mpe muda wake na yeye atakupa muda wako. na usiingie JF wakati uko kitandani utakuwa unamuibia muda wake yeye. tatizo wewe unakazania JF masaa yote hapo ndio unachemsha, usione wenzako mida fulani tunapotea ukadhani ndio hatupendi JF majukumu ya kijamii pia unazingatia. pole mkuu
yani siyo ww kaka mimi mpaka na ugomvi mkubwa ulitokea na mara ya kwanza alikuwa ana hisi nachat na demu ikawa ugomvi mpaka basi lakini kashaanza kuzoea saizi
Ni saa kumi na moja alfajiri niko uwanja wangu wa kujidai a.k.a toilet
Muda huu tayari uko maeneo ya kujidai (Chooni) kisa waif ana wivu na JF. he he he Hebu mpe waif darasa bana BjBj
teh teh teh uwiiiiiiiiii mbavu zangu mie bujibuji!!!Pua za wenzako zinanusa ufisadi, ya kwako inanusa uding'a, hahahhaha wewe kiboko.
teh teh teh uwiiiiiiiiii mbavu zangu mie bujibuji!!!
acha maneno yako banaaaaaa
Jamani mie nina uke sina uume mbona watu mnani confuz hivi? ndio maana sipati PM za kutosha lolwe dume au jike?
Jamani bujibuji ni faza wa vituko, mwaka jana niliprint thread zake, kila nikiwa bored nikawa nafungua zile print outs
Wakwangu huwa anafanya kushitukiza kuja kuangalia kwenye screen ya simu bahati mbaya akija anakuta niko jukwaa la siasa....yani siyo ww kaka mimi mpaka na ugomvi mkubwa ulitokea na mara ya kwanza alikuwa ana hisi nachat na demu ikawa ugomvi mpaka basi lakini kashaanza kuzoea saizi
Ngoja niku-PM sasa huvi...Jamani mie nina uke sina uume mbona watu mnani confuz hivi? ndio maana sipati PM za kutosha lol
Ni saa kumi na moja alfajiri niko uwanja wangu wa kujidai a.k.a toilet
Mama watoto wangu ananibana sana, hataki kuniona niko busy na na simu, anasema nichague kimoja, eidha JF au yeye. Ili niingie JF ni lazima niingie toilet, maana kinyume na hapo ni ugomvi mkubwa, simu zinavunjwa na amani inatoweka kwa wiki mbili unaweza usiitikiwe salamu yako.