Waifu kanisamehe kikweli kweli au?

Ulizoea kuitwa honey sweet potato, sweet pie sasa hivi unaitwa "Yaani hili lijanaume linanikera kweli"

wewe nawe jiulize,unaendelea kumuita ulivyokuwa ukimuita zamani?au unataka tu yeye acbadilike ilhali wewe siye yule wa zamani!!
 
Nikiwa kama kichwa cha familia nitaimarishaje UPENDO ndani ya nyumba wkt ww mwenyewe huna hata dalili za kulinew penzi la zamani? Yaani hapo lazima nitafute sehemu ya kujiweka nijifariji maana PENZI la nyumbani limechuja
 
Siyo ya kucheka, ila nimecheka mpaka kutoa machozi, kweli matatizo wanayataka wenyewe!
 
Mkuu sasa hapo utakuwa unalianzisha lingine, nawaza hiyo njia sio nzuri, inawezekana kaamua kumsamehe na kuona kama atapima kosa lake na kuacha hiyo tabia. lakini kwa kuendeleza mawasiliano inamaana hatakuwa amejutia kosa alokuwa akifanya na kumbe basi mama anahaki ya kuwa mbogo hata kama safari ya kwanza aliachilia.
 
Yaani wewe bana! leo mi sina cha kuongeza, ni kukumwagia tu haya madude!

The Following 2 Users Say Thank You to Baba_Enock For This Useful Post:

Asprin (Today), Ndibalema (Today)

Na ukiwahi jioni pitia pale fair way, kuna bia zako kadhaa utanidai pale!
 
Nikiwa kama kichwa cha familia nitaimarishaje UPENDO ndani ya nyumba wkt ww mwenyewe huna hata dalili za kulinew penzi la zamani? Yaani hapo lazima nitafute sehemu ya kujiweka nijifariji maana PENZI la nyumbani limechuja

sasa na wewe pia si unawajibu wa kurenew hilo penzi la home lililochuja?kwani usaliti ndo solution?
 
Yaani wewe bana! leo mi sina cha kuongeza, ni kukumwagia tu haya madude!

[]​

Na ukiwahi jioni pitia pale fair way, kuna bia zako kadhaa utanidai pale!

Mkuu hii ishu na wewe ilikutokea?
 
sasa na wewe pia si unawajibu wa kurenew hilo penzi la home lililochuja?kwani usaliti ndo solution?

Cheusimangala utake usitake lakini ndoa nyingi zinachuja na kuvunjika, usaliti chanzo ni kujisahau kwa mwanamke.
huwa mnasahau majukumu yenu muhimu.
 
ngoma ndroo
 
Hebu na wewe anaza kufanya follow up taratibu naye atakuwa ameishajimilikisha kaserengeti boi kake ndio maana unaona wala hajakwambia lolote lile yuko kimya ameona kumbe mechi droo moja moja
 
na yeye yapo mabaya yake hivyo kaona ngoma ndroo!!!
 
This is too much! is better to be alone as Iam.
 
Bwana Ndibalema, nijuavyo mimi...msgs huwa hazikai katika simcard kama ulivyosema, na zinakaa katika simu yenyewe, kama nitakuwa nimekosea naomba ufafanuzi
 
naona maradhi unayafuga mwenyewe toka lini mama ndio akawa father house unaona sasa matokeo yake hayo chukua nafasi yako kama kinara kwenye nyumba
 
hapo ndiba hujasamehewa wala usibweteke mie nakushauri uwe unalala na kipensi cha jeans na pia kama mamsapu wako akiamka usiku kwenda jikoni na wewe toka kajifiche ****** unaweza kumwagiwa maji ya moto muda wowote hapo inabidi uishi kimachale sana ukisikia shemeji kakooa tu muulize kuna nn
 
Bwana Ndibalema, nijuavyo mimi...msgs huwa hazikai katika simcard kama ulivyosema, na zinakaa katika simu yenyewe, kama nitakuwa nimekosea naomba ufafanuzi

Inawezekana upo sahihi lakini inategemeana na aina ya simu yenyewe.
Ya kwangu mimi ni Blackberry 9700 ambayo inakupa option ya kusevu kwenye simu au sim card au vyote.
kaka wewe unatumia simu aina gani? Mchina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…