Waifu kanisamehe kikweli kweli au?

Waifu kanisamehe kikweli kweli au?

Ulizoea kuitwa honey sweet potato, sweet pie sasa hivi unaitwa "Yaani hili lijanaume linanikera kweli"

wewe nawe jiulize,unaendelea kumuita ulivyokuwa ukimuita zamani?au unataka tu yeye acbadilike ilhali wewe siye yule wa zamani!!
 
ulivyoongea hapo nilipopigia mstari ni sawa lkn ni tofauti na usaliti.hakuna mke analemewa na mumewe,na kichwa cha nyumba kina wajibu wakuimarisha upendo na furaha ktk ndoa sio kuivuruga kwa kutoka nje!
acheni kutetea KUSALITI NDOA ZENU mnatuolea nini kama mnatukosea huruma kwa kutusaliti!
laiti mngejua inavyouma hata msingesema uwiii acha tu jamani.
mkitulia tutakua viumbe wenye furaha sana!

Nikiwa kama kichwa cha familia nitaimarishaje UPENDO ndani ya nyumba wkt ww mwenyewe huna hata dalili za kulinew penzi la zamani? Yaani hapo lazima nitafute sehemu ya kujiweka nijifariji maana PENZI la nyumbani limechuja
 
japo nimecheka...mie kipindi kile nilimwambia nimemsamehe(na kweli nilimsamehe kuoka moyoni)lakini hakuamni, nilikuwa nikijigeuza anash2ka anajifanya kunywa maji, nikifanya hivi anashtuka, alikuwa halali akihofia nitamfunika na mto ucngizini, alikuwa aapata ucngizi asubuhi mie nikiamka.......mnajitakia matatizo sana nyie.

Siyo ya kucheka, ila nimecheka mpaka kutoa machozi, kweli matatizo wanayataka wenyewe!
 
Ndibalema:

Ukitaka kuhakikisha kama Wife amekusamehe fanya yafuatayo:

1. Nunua cellphone nyingine
2. Weka hiyo line yako ya "siri"
3. Save jina "halisi" la huyo "mpenzi wa siri" kwenye phonebook ya hiyo simu
4. Hakikisha wife yupo around : probably baada ya kazi afte dinner/supper
5. Mbeep huyo "mpenzi wa siri" au mtumie "please call me"
6. Halafu acha hiyo simu kwenye "arm reach ya wife" na utoke nje for few minutes
7. Obviously "mpenzi wasiri" ataku-call back while upo nje na wife anaweza kuangalia with confidence "who is the caller"
8. Ukirudi ndani nakuhakikishia utapata kujua kama MSAMAHA ni wa KWELI!!!!!!!!!!

Mkuu sasa hapo utakuwa unalianzisha lingine, nawaza hiyo njia sio nzuri, inawezekana kaamua kumsamehe na kuona kama atapima kosa lake na kuacha hiyo tabia. lakini kwa kuendeleza mawasiliano inamaana hatakuwa amejutia kosa alokuwa akifanya na kumbe basi mama anahaki ya kuwa mbogo hata kama safari ya kwanza aliachilia.
 
Ndibalema:

Ukitaka kuhakikisha kama Wife amekusamehe fanya yafuatayo:

1. Nunua cellphone nyingine
2. Weka hiyo line yako ya "siri"
3. Save jina "halisi" la huyo "mpenzi wa siri" kwenye phonebook ya hiyo simu
4. Hakikisha wife yupo around : probably baada ya kazi afte dinner/supper
5. Mbeep huyo "mpenzi wa siri" au mtumie "please call me"
6. Halafu acha hiyo simu kwenye "arm reach ya wife" na utoke nje for few minutes
7. Obviously "mpenzi wasiri" ataku-call back while upo nje na wife anaweza kuangalia with confidence "who is the caller"
8. Ukirudi ndani nakuhakikishia utapata kujua kama MSAMAHA ni wa KWELI!!!!!!!!!!

Yaani wewe bana! leo mi sina cha kuongeza, ni kukumwagia tu haya madude!

The Following 2 Users Say Thank You to Baba_Enock For This Useful Post:

Asprin (Today), Ndibalema (Today)

Na ukiwahi jioni pitia pale fair way, kuna bia zako kadhaa utanidai pale!
 
Nikiwa kama kichwa cha familia nitaimarishaje UPENDO ndani ya nyumba wkt ww mwenyewe huna hata dalili za kulinew penzi la zamani? Yaani hapo lazima nitafute sehemu ya kujiweka nijifariji maana PENZI la nyumbani limechuja

sasa na wewe pia si unawajibu wa kurenew hilo penzi la home lililochuja?kwani usaliti ndo solution?
 
Yaani wewe bana! leo mi sina cha kuongeza, ni kukumwagia tu haya madude!

[]​

Na ukiwahi jioni pitia pale fair way, kuna bia zako kadhaa utanidai pale!

Mkuu hii ishu na wewe ilikutokea?
 
sasa na wewe pia si unawajibu wa kurenew hilo penzi la home lililochuja?kwani usaliti ndo solution?

Cheusimangala utake usitake lakini ndoa nyingi zinachuja na kuvunjika, usaliti chanzo ni kujisahau kwa mwanamke.
huwa mnasahau majukumu yenu muhimu.
 
Msaada wenu wa mawazo please.
Juzi Nimerudi kutoka safari ya kikazi na kwa bahati mbaya wife ameibamba sim card yangu ya siri(ambayo yeye alikuwa haijui)
Kwenye hiyo laini kuna sms za hatari amezikuta ambazo mtu mzima nimeshindwa kabisa kujitetea kwani mambo ni hadharani.
Ikabidi nimwombe radhi wife na nikamwambia ni shetani tu.
Cha ajabu wife wangu ambaye ni mtata sana akanisamehe kirahisi sana bila kuleta songombingo.
Wakati sio kawaida yake kwani siku za nyuma kama akitilia shaka jambo hata kama si la kweli basi moto wake si wa kitoto.
Jamani hivi wife kanisamehe kikweli kweli au anapanga 'revenge' ambayo nitakiona cha moto?
Au na yeye yapo mabaya yake hivyo kaona haina haja ya kulianzisha?
Mwenzenu nina hofu kweli.
ngoma ndroo
 
Hebu na wewe anaza kufanya follow up taratibu naye atakuwa ameishajimilikisha kaserengeti boi kake ndio maana unaona wala hajakwambia lolote lile yuko kimya ameona kumbe mechi droo moja moja
 
na yeye yapo mabaya yake hivyo kaona ngoma ndroo!!!
 
Amekusamehe - Wewe endelea tu na akina "Anjelina" as usual:

Usijaribu hata kidogo kubadilisha "life-style" : Tafuta sim card nyingine ya "siri" uedelee na mawasiliano ya "siri"

Concept ya Mke-Mmoja Mme-Mmoja imepitwa na wakati : Watu wana-pretend tu!

This is too much! is better to be alone as Iam.
 
Bwana Ndibalema, nijuavyo mimi...msgs huwa hazikai katika simcard kama ulivyosema, na zinakaa katika simu yenyewe, kama nitakuwa nimekosea naomba ufafanuzi
 
Dada yangu kinachosababisha nipige kazi za nje ni tabia ya waifu wangu.
Yaani ni mtu wa kununa nuna tu, mara nyingi huwa ni mkali sana.
Nampenda sana lakini pia nahitaji 'peace of mind'.
Amekuwa tofauti na kipindi kile cha uchumba, yeye ndo kama baba mwenye nyumba.
naona maradhi unayafuga mwenyewe toka lini mama ndio akawa father house unaona sasa matokeo yake hayo chukua nafasi yako kama kinara kwenye nyumba
 
hapo ndiba hujasamehewa wala usibweteke mie nakushauri uwe unalala na kipensi cha jeans na pia kama mamsapu wako akiamka usiku kwenda jikoni na wewe toka kajifiche ****** unaweza kumwagiwa maji ya moto muda wowote hapo inabidi uishi kimachale sana ukisikia shemeji kakooa tu muulize kuna nn
 
Bwana Ndibalema, nijuavyo mimi...msgs huwa hazikai katika simcard kama ulivyosema, na zinakaa katika simu yenyewe, kama nitakuwa nimekosea naomba ufafanuzi

Inawezekana upo sahihi lakini inategemeana na aina ya simu yenyewe.
Ya kwangu mimi ni Blackberry 9700 ambayo inakupa option ya kusevu kwenye simu au sim card au vyote.
kaka wewe unatumia simu aina gani? Mchina?
 
Back
Top Bottom