Waifu kanisamehe kikweli kweli au?

Waifu kanisamehe kikweli kweli au?

Msaada wenu wa mawazo please.
Juzi Nimerudi kutoka safari ya kikazi na kwa bahati mbaya wife ameibamba sim card yangu ya siri(ambayo yeye alikuwa haijui)
Kwenye hiyo laini kuna sms za hatari amezikuta ambazo mtu mzima nimeshindwa kabisa kujitetea kwani mambo ni hadharani.
Ikabidi nimwombe radhi wife na nikamwambia ni shetani tu.
Cha ajabu wife wangu ambaye ni mtata sana akanisamehe kirahisi sana bila kuleta songombingo.
Wakati sio kawaida yake kwani siku za nyuma kama akitilia shaka jambo hata kama si la kweli basi moto wake si wa kitoto.
Jamani hivi wife kanisamehe kikweli kweli au anapanga 'revenge' ambayo nitakiona cha moto?
Au na yeye yapo mabaya yake hivyo kaona ngoma ndroo haina haja ya kulianzisha?
Mwenzenu nina hofu kweli.
Hapo ndio kweli....!
 
Hapa leo magriiit thinkaz tuajadiliana nini vile?:A S 13::A S 13::A S 13:

Kuna member tulimpa training zote na vitendea kazi vyote lakini still kaanguka kwenye mtego sasa sijui tuwe tunawapa training za aina gani
 
Poleni sana wamama wnenzangu. Ndo hayo ninayoyakataa mimi. sijasema kuwa wangu ni msafi sana, ila sitaki kuja kujuta............ hata mimi kuna kipindi huwa napata sana kishawishi cha kuangalia simu ya mzee. utakuta kuna kipindi anapokea sms halafu kwa jinsi wasivyojua kujikausha utaona kabisa kuna walakini, lakini huwa napotezea kiaina ili nisizushe la kuzusha. na sometimes hali hiyo ikinikuta sana huwa nasali na kumkemea shetani; maana naona ni lishetani tu hilo linataka kuniharibia maisha yangu................. nimesema sitaki presha mimi, na itakuwa hivyo... sigusi simu yake ng'o, hata akiisahau akaenda kazini ataikuta alipoiacha. full stop!

UNAFANYA VEMA SANA ..ila fixed point huwa tunapata maono mama kwa nn roho ikutume fanya hivi wakati hujawahi fanya.
kwa yale niliyopata mie nikikwambia nashukuru sana nilipoishika hiyo simu.Niligundua siri kubwa sana ...kama kujua undani wa fumbo la imani.
wanaume loh
 
Kuna member tulimpa training zote na vitendea kazi vyote lakini still kaanguka kwenye mtego sasa sijui tuwe tunawapa training za aina gani
Subirini tu anguko laja.... chama chenyewe kina sheria zisizotimizika wataacha kufeli?? Hiyo sheria yenu namba 3 naona wenyewe kwa wenyewe mkiongozwa na King mnaipindisha pindisha.

Viva IPC Viva IPC Viiiiiivaaaaa!!
 
Msaada wenu wa mawazo please.
Juzi Nimerudi kutoka safari ya kikazi na kwa bahati mbaya wife ameibamba sim card yangu ya siri(ambayo yeye alikuwa haijui)
Kwenye hiyo laini kuna sms za hatari amezikuta ambazo mtu mzima nimeshindwa kabisa kujitetea kwani mambo ni hadharani.
Ikabidi nimwombe radhi wife na nikamwambia ni shetani tu.
Cha ajabu wife wangu ambaye ni mtata sana akanisamehe kirahisi sana bila kuleta songombingo.
Wakati sio kawaida yake kwani siku za nyuma kama akitilia shaka jambo hata kama si la kweli basi moto wake si wa kitoto.
Jamani hivi wife kanisamehe kikweli kweli au anapanga 'revenge' ambayo nitakiona cha moto?
Au na yeye yapo mabaya yake hivyo kaona ngoma ndroo haina haja ya kulianzisha?
Mwenzenu nina hofu kweli.

Tabia yako mbaya. Kwa nini uwe na laini ya siri asiyoijua mkeo. Inaonyesha mkeo humpendi.
Kwa taarifa yako tu mkeo nae yuko kama wewe na ndo maana amekusamehe kirahisi hivyo. Mwenyezi Mungu huwaweka pamoja watu (mume na mke) wenye tabia zinazofanana; mume mchawi kwa mke mchwi, mume mwizi kwa mke mwizi, mume mzinifu kwa mke mzinifu na mume mshirikina kwa mke mshirikina.

Zamani mkeo alikuwa muadilifu ndio maana alikuwa akianzisha ugomvi alipokuwa akikuta sms mbaya ktk simu. Baadae aliamua kulipa kisasi kwa yeye kutafuta vidumu ili muende level maana alikuonya lakini hukusikia. Wee una vijumba vidogo na mkeo ana vidumu, kwa hiyo NGOMA DROO. Mrejee bwana mungu na uachane vijumba vidogo.

Iga mfano wangu. Mie nina laini nne za simu na laini zote hizo Mama Mtu anazijua na nshamwambia akinikosa katika laini moja basi anitafute katika laini nyingine.
 
sasa mkeo alikuwa anatafuta nini tena kwenye simu card iliyofichwa? wakati mwingine tunajitafutia ugonjwa wa moyo wenyewe. mi sitaki kabisa kugusa simu ya mtu, bado napenda kuishi bila ugonjwa wa moyo.................... amani tele, kwa raha zangu!

FP unaweza kukuta haikuta tabia yako bali alipatwa na kiherehere cha ghafla....kuna cku mr alisahau fone home, imeitaa weee, kumbe ni yeye ananical nimpitishie ofcn, cjui kwanini hakupata akili ya kupiga yangu bali yake...nilifanya kuigeuza hata nicone nani na nani wanacall....jioni aliporudi ilikuwa kwangu....lol
 
Hapa leo magriiit thinkaz tuajadiliana nini vile?:A S 13::A S 13::A S 13:

Hivi ni kwa nini nipaate SMS ambayo sikuitaka kutoka kwenye hii mitandao ya simu wakati sipo kwenye siasa wala kampeni? Hommie msaada hapo wa kisheria....
 
Mimi pia MJ1 sikuwahi kushika simu ya mzee hapo nyuma ,lakini siku nilipoishika nilijuta sana na nadhani ni roho wa mungu alinituma nilikumbana na maajabu ya dunia ..ilikuwa 4 years past
hawa wana mambo

heee jamani kila mtu ana lake humu, halafu kwanini hawa delete bac au ni wanajisahau....
 
Msaada wenu wa mawazo please.
Juzi Nimerudi kutoka safari ya kikazi na kwa bahati mbaya wife ameibamba sim card yangu ya siri(ambayo yeye alikuwa haijui)
Kwenye hiyo laini kuna sms za hatari amezikuta ambazo mtu mzima nimeshindwa kabisa kujitetea kwani mambo ni hadharani.
Ikabidi nimwombe radhi wife na nikamwambia ni shetani tu.
Cha ajabu wife wangu ambaye ni mtata sana akanisamehe kirahisi sana bila kuleta songombingo.
Wakati sio kawaida yake kwani siku za nyuma kama akitilia shaka jambo hata kama si la kweli basi moto wake si wa kitoto.
Jamani hivi wife kanisamehe kikweli kweli au anapanga 'revenge' ambayo nitakiona cha moto?
Au na yeye yapo mabaya yake hivyo kaona ngoma ndroo haina haja ya kulianzisha?
Mwenzenu nina hofu kweli.

bado nafikiria adhabu yako!
 
heee jamani kila mtu ana lake humu, halafu kwanini hawa delete bac au ni wanajisahau....
si unajua kuwa wife hana tabia ya kuchunguza simu halafu msg nyingine tamu mpk unataka uirudie rudie (ila mie simo)
 
Hivi ni kwa nini nipaate SMS ambayo sikuitaka kutoka kwenye hii mitandao ya simu wakati sipo kwenye siasa wala kampeni? Hommie msaada hapo wa kisheria....

Hommie bado unatumia blackberry ya kichina?
 
Tabia yako mbaya. Kwa nini uwe na laini ya siri asiyoijua mkeo. Inaonyesha mkeo humpendi.
Kwa taarifa yako tu mkeo nae yuko kama wewe na ndo maana amekusamehe kirahisi hivyo. Mwenyezi Mungu huwaweka pamoja watu (mume na mke) wenye tabia zinazofanana; mume mchawi kwa mke mchwi, mume mwizi kwa mke mwizi, mume mzinifu kwa mke mzinifu na mume mshirikina kwa mke mshirikina.

Zamani mkeo alikuwa muadilifu ndio maana alikuwa akianzisha ugomvi alipokuwa akikuta sms mbaya ktk simu. Baadae aliamua kulipa kisasi kwa yeye kutafuta vidumu ili muende level maana alikuonya lakini hukusikia. Wee una vijumba vidogo na mkeo ana vidumu, kwa hiyo NGOMA DROO. Mrejee bwana mungu na uachane vijumba vidogo.

Iga mfano wangu. Mie nina laini nne za simu na laini zote hizo Mama Mtu anazijua na nshamwambia akinikosa katika laini moja basi anitafute katika laini nyingine.

Watu wengine ni wapotoshaji mpaka nawaonea huruma! Huu ni upotoshaji mkubwa! Huwezi kuwadhalilisha wanawake namna hii asee!
 
Nyamayao kama kuna mwanamke hayajamkuta huku basi bado binti!

kwa kweli....chaaa! halafu unasoma inbox na sent, hayo malavidavi yaliyopo humo kama sio strong c mbalii itakuhusu ukute ndio wale wanaowaamini waume zao 101%...pweee.
 
Back
Top Bottom