Huko kwetu sisi ndio vichekesho, cm yake aliweka password kitamboooo.....bac na mie alhamdulilah nikapewa ya ofisi ambayo ina uezo wa kuwekwa password. Na mie nikaweka (tho hamna chochote cha ajabu kinachonifanya niweke), basi silali usingizi..mara ooh, na cm yako siku hizi umeweka password! Nabaki nachekea tumboni, kasahau kabisa kama yake ina password!
Anyways, nafikiri cha msingi ni kukwepa hizo cm, inaweza ikaita mpaka ikakata...wala sitaki kuisogelea.
Anyways, nafikiri cha msingi ni kukwepa hizo cm, inaweza ikaita mpaka ikakata...wala sitaki kuisogelea.