Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Niliposikia tu na kuthibitisha kuwa ni kweli hata hilo li series lake nishaga liachaDuh Scofield?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliposikia tu na kuthibitisha kuwa ni kweli hata hilo li series lake nishaga liachaDuh Scofield?
Masonichuwa sielewagi mtu una mafanikio hela & fame afu unakuwa shoga!!wonderful!!au kuna namna nyuma ya pazia??
Ni kweliiZote kiki tu hizo, hamna shoga hapo; labda waige matendo na muonekano wa James delicious ndio nitaamini
Ss wanaume ni watu wa ajabu sana. Mwanaume akiona tundu lolote atataka apitishe.why michael scofield?? whyy michael??? whyyyýyy
shoga sio mpaka awe amelegea bab""" kuna wale wanaoitwa bottom... wanakazwa then nao wanakaza"na hao ndio wapo wengi mnoo kama hapa dar ndio wamezagaa ukiwaona huwezi kuamini niwatu smart .wanafamilia zao na michongo/kazi. za maana tu" dunia ina mengi hii mkuuZote kiki tu hizo, hamna shoga hapo; labda waige matendo na muonekano wa James delicious ndio nitaamini
Hyo wa teenwolf si ndio aliigiza kama wako mapacha na mwenzio alikua anampenzi shoga?