pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Sijakuelewa, Marekani inaingiaje kwenye tuzo za filamu za Kiafrika?Kenya ni tofauti sana na Tanzania ktk kiwanda cha filamu, kwa kuwa kenya wanazidiwa na wamerekani [emoji23].. Asante kidogo
Jokes tu mkuu ndyo maana kuna emojiSijakuelewa, marekani inaingiaje kwenye tuzo za filamu za kiafrika?
Hawaigizagi, na ushahidi kwamba hawaigizi ndio huo hapo juu kwenye taarifa. πHa!!!....Kenya wanaigzaga filamu,,,haaaa
Nyinyi ndio mnaigiza sio?Ha!!!....Kenya wanaigzaga filamu,,,haaaa
Bdo unaendlea kuonesha upimbi wako ktk kuandika ni kuwa acha maringo, tena usirembe mwandiko... Ni hvi mada inasemaje?Jadili mada hacha kujadili coment mzee.. Kwa kuwa na wewe ni mtupu ndyo unaendleza upimbi wako..Andika tena nikujibu.
Hasira zote hizi za nini bana? Tulieni basi.Empty headed
Filamu za Bongo jini likivuka barabara linakua makini. Mnaishia kuigiza filamu maelfu lakini pumba tupu.Ha!!!....Kenya wanaigzaga filamu,,,haaaa
Jombaa tunajaribu bana. Hiyo filamu ya Kenya 'Supa Modo' iliyoshinda tuzo la filamu bora Africa ya lugha za kiasili(kiswahili) imekuwa nominated kwenye tuzo za Oscars 2018 kule Hollywood, Marekani.nyinyi ndio mnaigiza sio?View attachment 886765View attachment 886765 yaani Afrika filamu bado tupo mbali sana...hata hao wanaoongoza barani wanaija bado wapo chini sana ukilinganisha na nchi kama India, Marekani, Philippines na Mexico...ila bado nawapa washindi hongera zao
Kama hujui haimaanishi haipo. Kenya tuna Riverwood. Ulizia ulizia utaambiwa.Hujiulizi kwanini hatujui kenya mna kiwanda cha filamu,ila naigeria tunajua wanacho!!!
Kwaiyo unafkr kenya inaigiza kuliko Tanzania. hahaha,! Hayo mambo mengine sijui usa,mexico peleka huko kibera sitaki kuskia upuuzi..nyinyi ndio mnaigiza sio?View attachment 886765View attachment 886765 yaani Afrika filamu bado tupo mbali sana...hata hao wanaoongoza barani wanaija bado wapo chini sana ukilinganisha na nchi kama India, Marekani, Philippines na Mexico...ila bado nawapa washindi hongera zao
Kwa sababu mnapenda kuyajua mapungufu ya Kenya pekee ndio mje kuyaanika hapa. Maswala mazuri yanayohusu Kenya hamjui chochote.Hujiulizi kwanini hatujui kenya mna kiwanda cha filamu,ila naigeria tunajua wanacho!!!
Nadhani mim nimekuelewesha mkuu.. Ila mim sina hasira, mtu akija anavyotaka na wewe unamrudisha utakavyo!Hasira zote hizi za nini bana? Tulieni basi.
Unatumia vigezo vipi kusema waigizaji wa Kenya hawajabobea kwenye nyaja hiyo zaidi ya watanzania. Filamu za Kenya zimejizolea tuzo nyingi sana na hazijaanza mwaka huu. Waigizaji wa Kenya pia wanang'aa kote kote kila uchao.Kwaiyo unafkr kenya inaigiza kuliko Tanzania. hahaha,! Hayo mambo mengine sijui usa,mexico peleka huko kibera sitaki kuskia upuuzi..
Hakuna chochote cha maana kwenye filamu bongo...huo ndio ukweli...hasira peleka tandaleπKwaiyo unafkr kenya inaigiza kuliko Tanzania. hahaha,! Hayo mambo mengine sijui usa,mexico peleka huko kibera sitaki kuskia upuuzi..
Sasa mkuu unakuta budget $3000 huyo jini akivuka barabara kizembe akagongwa na gari matibabu atalipiwa na nani πππ kuwa na huruma na maisha ya jini bwana.Filamu za Bongo jini likivuka barabara linakua makini.
Mnaishia kuigiza filamu maelfu lakini pumba tupu.