Waigizaji na filamu za Kenya zilivyojinyakulia tuzo maradufu kwenye Tuzo za Filamu Afrika, AMVCA kule Lagos, Nigeria

Waigizaji na filamu za Kenya zilivyojinyakulia tuzo maradufu kwenye Tuzo za Filamu Afrika, AMVCA kule Lagos, Nigeria

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
Africa Magic Viewers Choice Awards 2018(AMVCA) ilikuwa kule Lagos, Nigeria mwezi uliopita na juhudi za wakenya kwenye nyanja za uigizaji na production ya filamu zilitambulika kwa njia kubwa.

Tuzo zenyewe; Best Overall Movie in Africa: '18Hours', Phoebe Waruguru. Best Movie in East.Africa: '18Hours', Phoebe Waruguru. Best Picture Editor in Africa: Mark Maina. Best Actress in Africa: Nyce Wanjeri. Best Documentary(Africa): 'The Flesh Business', Denis Maina Wanjohi. Best Indigenous Language Movie in Africa(swahili): 'Supa Modo', Sarika Hemi Laklani.

The-Kenyan-winners-from-left-Denis-Wanjohi-Kevin-Njue-Nyce-Wanjeri-Phoebe-Ruguru.-Likarion-Wainaina-and-Mark-Maina-at-the-AMVCAs-gala-4096x2731.jpg
Kenyans win big at the 2018 Africa Magic Viewers’Choice Awards, AMVCAs
 
Kenya ni tofauti sana na Tanzania ktk kiwanda cha filamu, kwa kuwa Kenya wanazidiwa na wamerekani [emoji23].. Asante kidogo
 
Bdo unaendlea kuonesha upimbi wako ktk kuandika ni kuwa acha maringo, tena usirembe mwandiko... Ni hvi mada inasemaje?Jadili mada hacha kujadili coment mzee.. Kwa kuwa na wewe ni mtupu ndyo unaendleza upimbi wako..Andika tena nikujibu.
Empty headed
Hasira zote hizi za nini bana? Tulieni basi.
 
nyinyi ndio mnaigiza sio?View attachment 886765View attachment 886765 yaani Afrika filamu bado tupo mbali sana...hata hao wanaoongoza barani wanaija bado wapo chini sana ukilinganisha na nchi kama India, Marekani, Philippines na Mexico...ila bado nawapa washindi hongera zao
Jombaa tunajaribu bana. Hiyo filamu ya Kenya 'Supa Modo' iliyoshinda tuzo la filamu bora Africa ya lugha za kiasili(kiswahili) imekuwa nominated kwenye tuzo za Oscars 2018 kule Hollywood, Marekani.
 
nyinyi ndio mnaigiza sio?View attachment 886765View attachment 886765 yaani Afrika filamu bado tupo mbali sana...hata hao wanaoongoza barani wanaija bado wapo chini sana ukilinganisha na nchi kama India, Marekani, Philippines na Mexico...ila bado nawapa washindi hongera zao
Kwaiyo unafkr kenya inaigiza kuliko Tanzania. hahaha,! Hayo mambo mengine sijui usa,mexico peleka huko kibera sitaki kuskia upuuzi..
 
Kwaiyo unafkr kenya inaigiza kuliko Tanzania. hahaha,! Hayo mambo mengine sijui usa,mexico peleka huko kibera sitaki kuskia upuuzi..
Unatumia vigezo vipi kusema waigizaji wa Kenya hawajabobea kwenye nyaja hiyo zaidi ya watanzania. Filamu za Kenya zimejizolea tuzo nyingi sana na hazijaanza mwaka huu. Waigizaji wa Kenya pia wanang'aa kote kote kila uchao.
 
Kwaiyo unafkr kenya inaigiza kuliko Tanzania. hahaha,! Hayo mambo mengine sijui usa,mexico peleka huko kibera sitaki kuskia upuuzi..
Hakuna chochote cha maana kwenye filamu bongo...huo ndio ukweli...hasira peleka tandale😀
 
Back
Top Bottom