Yaani unamaanisha ili filamu ya Kenya ikubalike lazima iingie bongo, Afrika nzima ni bongo tu au?Mko na moto ila hamna bahati,hakuna hata filamu moja imeingia bongo,au mmelenga wamarekani?
Huyo dada Nyce Wanjeri ameshinda tuzo la muigizaji bora wa kike Afrika, haimaanishi industry ya filamu Kenya imeizidi ile ya Nigeria ila inaashiria kwamba kwenye 'quality' na kipaji cha uigizaji wakenya wanajaribu.Imekuaje Kenya wawazid Nigeria kwa movie industry. tupeane siri ya mafanikio.
Kenya hawana movies nyingi. In Kenya we value quality more than quantityThe truth is Wakenya wapo vizuri hasa kwenye drama storylines zao hazina tofauti sana na bongo ila nadhani wamewekeza sana katika vitu technical ambavyo kibongobongo hakuna.
Bongo movies sio kwamba hakuna movies completely ila wabongo bila kuwawekea Wema Sepetu, JB ,Irene Uwoya au wolper hakuna kitu utakachokiuza ndo maana movies hazibadiliki maana soko ndivyo linavyotaka.. cheap movies kibao ila quality hakuna
Ila kuna movies za Bongo kali tu na zimefika ulimwenguni kama Going Bongo, Kiumeni, chief Mkwawa na Homecoming, ni best movies kwa kuangalia quality lakini kutokana na mentality za sokoni wala hazijulikani.
Huyo dada Nyce Wanjeri ameshinda tuzo la muigizaji bora wa kike Afrika, haimaanishi industry ya filamu Kenya imeizidi ile ya Nigeria ila inaashiria kwamba kwenye 'quality' na kipaji cha uigizaji wakenya wanajaribu.
Kenya hawana movies nyingi. In Kenya we value quality more than quantity
Kweli kabisa jombaa, nawatambua sana waS.A, film industry yao ipo kwenye level nyingine. Alafu concept zao ni original sana, ukitizama tu unajua hawa ni wasauz. Script na storyline nyingi sana zimetolewa Kenya na zikaenda kuigizwa kule S.A kama ile movie ya First Grader ambayo hata waigizaji walikuwa wakenya. Sheria zao na 'structures' pia zinawavutia sana wawekezaji kwenye nyanja hiyo.Watu hawajui kuwa katika movie industry Afrika sidhani kama kuna mtu anamgusa South Africa japo wanaija nao wameanza kuja kasi hasaa katika kuzingatia quality ..
Diaspora wao naona wanarudi kwa kasi katika movie industry yao na ndo maana hata sasa movie za naija zinapasua anga kwa kizazi kipya
Kenyans mpo vizuri na ndio maana Mtv shuga ya Kenya kwangu is still the best haswaa kwa wale waigizaji ..ikifuatiwa na Mtv down south... wakenya hawaangalii sura na shape ya mwili..wanaangalia peformance na hapo ndo tulipotofautiana
That's how life is. There is always positive and negative things. Good and bad things.The truth is I have watched some of your very worst movies hadi nikashangaa. I think there are more reasons for that than your suggested notion.
Mbona soap operas kibao na zingine hazina quality kabisaa.what is the real reason behind
True dat, wapo level ingine na serikali yao ni supportive ila sisi huku kwingine [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] Lord have mercyKweli kabisa jombaa, nawatambua sana waS.A, film industry yao ipo kwenye level nyingine. Alafu concept zao ni original sana, ukitizama tu unajua hawa ni wasauz. Script na storyline nyingi sana zimetolewa Kenya na zikaenda kuigizwa kule S.A kama ile movie ya First Grader ambayo hata waigizaji walikuwa wakenya. Sheria zao na 'structures' pia zinawavutia sana wawekezaji kwenye nyanja hiyo.
That's how life is. There is always positive and negative things.
Good and bad things.
In every aspect of life. That's why you always see people saying someone is ugly and the other one is beautiful/handsome
Kenyan government doesn't even support entertainment industry in Kenya. They struggle on their own. If only they could support it maybe there would be enough movie production.I was only asking if there was any reason for a few movies production in Kenya.
My comment was not centralized on my own judgement over some Ke movies quality
Kenyan government doesn't even support entertainment industry in Kenya. They struggle on their own. If only they could support it maybe there would be enough movie production.
I hate it when I only see Nigerian movies on TV screens and the way I hate them
Hawawezi igiza filamu yoyote ile bila kushirikisha maudhui ya ushirikinaGuess you hate dem even more when the only problem solver is a witch doctor [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
18hrs inabidi niicheck,hivi muvi zao wanaweka mtandaoni?Mkenya Nyce Wanjeri, aliyeshinda tuzo la muigizaji bora wa kike Afrika. Aliwafunika waigizaji wengi sana wa zile filamu za Nigeria za Nollywood, na yale mawigi na makelele yao. [emoji1] Hapo sawa!