Waigizaji na filamu za Kenya zilivyojinyakulia tuzo maradufu kwenye Tuzo za Filamu Afrika, AMVCA kule Lagos, Nigeria

Waigizaji na filamu za Kenya zilivyojinyakulia tuzo maradufu kwenye Tuzo za Filamu Afrika, AMVCA kule Lagos, Nigeria

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ kumbe Kenya nao kuna waigizaji?
 
Hivi kwenye kipengele cha hisia kuna mwanamke Kenya kweli anakimudu? Sababu wanawake wa Kenya hata wakiweka hisia vipi bado kuna ile cruel thing kwenye facial expression yaani sura inagoma kabisa haitaki kata katu piga ua imesimama dedee kiporipori smh
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€nyie wakenya hamjui kwamba bongo waliigiza ile television series shuga ambayo ilionyeshwa MTV base. Baadaye ikaigizwa na wanaija. Hivi Kenya mnajua kwamba wabongo wana waigizaji showmax kama EDI gathiga.Hivi nyie wakenya mnajua lupita nyong'
 
Mko na moto ila hamna bahati,hakuna hata filamu moja imeingia bongo,au mmelenga wamarekani?
Yaani unamaanisha ili filamu ya Kenya ikubalike lazima iingie bongo, Afrika nzima ni bongo tu au?

Mbona kwenye hizo tuzo za filamu za kiafrika wakenya wametambuliwa kwa filamu bora Afrika na Afrika mashariki pia, kwa jina '18Hours'. Hiyo filamu nyingine 'Supa Modo' ambayo wameigiza kwa lugha ya kiswahili ilishindaje tuzo kule Lagos na ilifikaje kwenye tuzo za Oscars Marekani? Lugha sio ishu, ubora wa filamu kwenye 'production' na uigizaji ndio muhimu zaidi.
 
Imekuaje Kenya wawazid Nigeria kwa movie industry. tupeane siri ya mafanikio.
Huyo dada Nyce Wanjeri ameshinda tuzo la muigizaji bora wa kike Afrika, haimaanishi industry ya filamu Kenya imeizidi ile ya Nigeria ila inaashiria kwamba kwenye 'quality' na kipaji cha uigizaji wakenya wanajaribu.
 
The truth is Wakenya wapo vizuri hasa kwenye drama storylines zao hazina tofauti sana na bongo ila nadhani wamewekeza sana katika vitu technical ambavyo kibongobongo hakuna.

Bongo movies sio kwamba hakuna movies completely ila wabongo bila kuwawekea Wema Sepetu, JB ,Irene Uwoya au wolper hakuna kitu utakachokiuza ndo maana movies hazibadiliki maana soko ndivyo linavyotaka.. cheap movies kibao ila quality hakuna

Ila kuna movies za Bongo kali tu na zimefika ulimwenguni kama Going Bongo, Kiumeni, chief Mkwawa na Homecoming, ni best movies kwa kuangalia quality lakini kutokana na mentality za sokoni wala hazijulikani.
 
Kenya hawana movies nyingi. In Kenya we value quality more than quantity
 
Watu hawajui kuwa katika movie industry Afrika sidhani kama kuna mtu anamgusa South Africa japo wanaija nao wameanza kuja kasi hasaa katika kuzingatia quality.

Diaspora wao naona wanarudi kwa kasi katika movie industry yao na ndo maana hata sasa movie za naija zinapasua anga kwa kizazi kipya.

Kenyans mpo vizuri na ndio maana Mtv shuga ya Kenya kwangu is still the best haswaa kwa wale waigizaji ..ikifuatiwa na Mtv down south... wakenya hawaangalii sura na shape ya mwili..wanaangalia peformance na hapo ndo tulipotofautiana

Huyo dada Nyce Wanjeri ameshinda tuzo la muigizaji bora wa kike Afrika, haimaanishi industry ya filamu Kenya imeizidi ile ya Nigeria ila inaashiria kwamba kwenye 'quality' na kipaji cha uigizaji wakenya wanajaribu.
 
Uklitaka kujua Nchi iko nyuma kimaendeleo na kimawazo tafuta comedy zao yani ni kama zile za nyengese in the 80s
 
The truth is I have watched some of your very worst movies hadi nikashangaa. I think there are more reasons for that than your suggested notion.

Mbona soap operas kibao na zingine hazina quality kabisaa.what is the real reason behind
Kenya hawana movies nyingi. In Kenya we value quality more than quantity
 
Watu hawajui kuwa katika movie industry Afrika sidhani kama kuna mtu anamgusa South Africa japo wanaija nao wameanza kuja kasi hasaa katika kuzingatia quality ..
Diaspora wao naona wanarudi kwa kasi katika movie industry yao na ndo maana hata sasa movie za naija zinapasua anga kwa kizazi kipya

Kenyans mpo vizuri na ndio maana Mtv shuga ya Kenya kwangu is still the best haswaa kwa wale waigizaji ..ikifuatiwa na Mtv down south... wakenya hawaangalii sura na shape ya mwili..wanaangalia peformance na hapo ndo tulipotofautiana
Kweli kabisa jombaa, nawatambua sana waS.A, film industry yao ipo kwenye level nyingine. Alafu concept zao ni original sana, ukitizama tu unajua hawa ni wasauz. Script na storyline nyingi sana zimetolewa Kenya na zikaenda kuigizwa kule S.A kama ile movie ya First Grader ambayo hata waigizaji walikuwa wakenya. Sheria zao na 'structures' pia zinawavutia sana wawekezaji kwenye nyanja hiyo.
 
The truth is I have watched some of your very worst movies hadi nikashangaa. I think there are more reasons for that than your suggested notion.

Mbona soap operas kibao na zingine hazina quality kabisaa.what is the real reason behind
That's how life is. There is always positive and negative things. Good and bad things.
In every aspect of life. That's why you always see people saying someone is ugly and the other one is beautiful/handsome
 
Kweli kabisa jombaa, nawatambua sana waS.A, film industry yao ipo kwenye level nyingine. Alafu concept zao ni original sana, ukitizama tu unajua hawa ni wasauz. Script na storyline nyingi sana zimetolewa Kenya na zikaenda kuigizwa kule S.A kama ile movie ya First Grader ambayo hata waigizaji walikuwa wakenya. Sheria zao na 'structures' pia zinawavutia sana wawekezaji kwenye nyanja hiyo.
True dat, wapo level ingine na serikali yao ni supportive ila sisi huku kwingine [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] Lord have mercy
 
I was only asking if there was any reason for a few movies production in Kenya. My comment was not centralized on my own judgement over some Ke movies quality
That's how life is. There is always positive and negative things.
Good and bad things.
In every aspect of life. That's why you always see people saying someone is ugly and the other one is beautiful/handsome
 
I was only asking if there was any reason for a few movies production in Kenya.
My comment was not centralized on my own judgement over some Ke movies quality
Kenyan government doesn't even support entertainment industry in Kenya. They struggle on their own. If only they could support it maybe there would be enough movie production.

I hate it when I only see Nigerian movies on TV screens and the way I hate them
 
Guess you hate dem even more when the only problem solver is a witch doctor [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kenyan government doesn't even support entertainment industry in Kenya. They struggle on their own. If only they could support it maybe there would be enough movie production.
I hate it when I only see Nigerian movies on TV screens and the way I hate them
 
The-biggest-winner-of-the-night-Nyce-Wanjeri-who-was-declared-the-Best-Actress-in-Africa-at-the-just-concluded-AMVCAs-in-Lahos-Nigeria.gif
Mkenya Nyce Wanjeri, aliyeshinda tuzo la muigizaji bora wa kike Afrika. Aliwafunika waigizaji wengi sana wa zile filamu za Nigeria za Nollywood, na yale mawigi na makelele yao. [emoji1] Hapo sawa!
18hrs inabidi niicheck,hivi muvi zao wanaweka mtandaoni?
 
Back
Top Bottom