pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
-
- #61
Utazipata ila usifate zile pirated, Supa Modo, ambayo ipo njiani kuelekea Oscars usiisahau pia. Sijapata muda wa kuitizama.18hrs inabidi niicheck,hivi muvi zao wanaweka mtandaoni?
poa asante mkuuUtazipata ila usifate zile pirated, Supa Modo, ambayo ipo njiani kuelekea Oscars usiisahau pia. Sijapata muda wa kuitizama.
edie gathegi ni mnyama nilipoona sura yake tu nikajua huyu lazima atakuwa na asili ya KENYA😀😀😀😀😀😀nyie wakenya hamjui kwamba bongo waliigiza ile television series shuga ambayo ilionyeshwa MTV base. Baadaye ikaigizwa na wanaija. Hivi Kenya mnajua kwamba wabongo wana waigizaji showmax kama EDI gathiga.Hivi nyie wakenya mnajua lupita nyong'
Ni mnyama na anatangamana na watu? Ubishi wa kitoto ndiyo unaleta hapaedie gathegi ni mnyama nilipoona sura yake tu nikajua huyu lazima atakuwa na asili ya KENYA
mnyama=ni mkali kwenye kuigizaNi mnyama na anatangamana na watu? Ubishi wa kitoto ndiyo unaleta hapa
Whatevermnyama=ni mkali kwenye kuigiza
Stop character assassination. Are you a class 1 retard?Huyu nae kachukua tuzo gani??View attachment 887408
Whose pic is that anyway? Nimeiona kwenye uzi fulani hivi wa kitoto, washaufuta tayari nini? Sasa ndio umehamishwa huku ili uendelee kueneza ujinga? Mada ya uzi huu ipo wazi bana.Stop character assassination. Are you a class 1 retard?
Ni hii jingatype coz imeshindwa hoja na wakenya inaanza huu upuuzWhose pic is that anyway? Nimeiona kwenye uzi fulani hivi wa kitoto, washaufuta tayari nini? Sasa ndio umehamishwa huku ili uendelee kueneza ujinga? Mada ya uzi huu ipo wazi bana.
Hahaa! [emoji1] Vitu vingine kama hivyo hapa kwenye jukwaa huwa navipuzilia tu, na nakubali kwamba kuna baadhi ya watu ambao hatupo kwenye level moja kifikra. La sivyo utajipata umeambukizwa ujinga.Ni hii jingatype coz imeshindwa hoja na wakenya inaanza huu upuuz
Imeweka hii pic kwa thread zote
Ndio maana huwa sikuoni kwa lile la dar SLUM vs naiHahaa! [emoji1]0Vitu vingine kama hivyo hapa kwenye jukwaa huwa navipuzilia tu, na nakubali kwamba kuna baadhi ya watu ambao hatupo kwenye level moja kifikra. La sivyo utajipata umeambukizwa ujinga.
Hahaha! [emoji1] No comment.Ndio maana huwa sikuoni kwa lile la dar SLUM vs nai
kumbe Kenya nao kuna waigizaji?
Huwa nawashangaa sana na hii tabia yenu ya kuponda kitu chochote kile kutoka Kenya. Hamuwezi sifia vyenu kama ninavofanya kwenye uzi huu bila ya kuchafua vya jirani? Acha niwaige basi, na hizi scene kadhaa kwenye hizo bongo movie mnazozisifia.Kenya na filamu wapi na wapi.
Kwenye upande wa filamu, Statistics za mwaka jana ya kwanza ni Nigeria ya pili Ghans, ya tatu ni Tanzania ya nne ni SA. Kenya ipo kwenye mkia.
Mbona mwaka huu tu Monalisa kapokea Tuzo wala hatukupiga kelele. Mwaka jana Lulu kapokea hatujaongea chochote.
I have never sat down to watch a bongo movie. I will try one of these daysHuwa nawashangaa sana na hii tabia yenu ya kuponda kitu chochote kile kutoka Kenya. Hamuwezi sifia vyenu kama ninavofanya kwenye uzi huu bila ya kuchafua vya jirani? Acha niwaige basi, na hizi scene kwenye hizo bongo movie mnazosifia.[emoji1][emoji1][emoji1]Hapa naona jambazi mstaarabu anayevua viatu kabla ya kuingia kwenye nyumba za wenyewe kufanya yake.
All the best! Uwe tayari pia kuona vitu vya ajabu ajabu kama hivi hapa.I have never sat down to watch a bongo movie. I will try one of these days
hiyo riverwood ndo naisikia leo hivi hujawai kusikia neno linaitwa bongomovieKama hujui haimaanishi haipo. Kenya tuna Riverwood. Ulizia ulizia utaambiwa.
Ushalisikia basi, sasa umelijua na kuanzia sasa utaanza kulisikia kila mara.hiyo riverwood ndo naisikia leo hivi hujawai kusikia neno linaitwa bongomovie
Hizi zako ni dope jo!.All the best! Uwe tayari pia kuona vitu vya ajabu ajabu kama hivi hapa.Tafsiri kwa kiingereza, bongo movie style. [emoji1][emoji1][emoji1]