Waigizaji na filamu za Kenya zilivyojinyakulia tuzo maradufu kwenye Tuzo za Filamu Afrika, AMVCA kule Lagos, Nigeria

Waigizaji na filamu za Kenya zilivyojinyakulia tuzo maradufu kwenye Tuzo za Filamu Afrika, AMVCA kule Lagos, Nigeria

😀😀😀😀😀😀nyie wakenya hamjui kwamba bongo waliigiza ile television series shuga ambayo ilionyeshwa MTV base. Baadaye ikaigizwa na wanaija. Hivi Kenya mnajua kwamba wabongo wana waigizaji showmax kama EDI gathiga.Hivi nyie wakenya mnajua lupita nyong'
edie gathegi ni mnyama nilipoona sura yake tu nikajua huyu lazima atakuwa na asili ya KENYA
 
Huyu nae kachukua tuzo gani??
IMG_20181005_120321.jpg
 
Stop character assassination. Are you a class 1 retard?
Whose pic is that anyway? Nimeiona kwenye uzi fulani hivi wa kitoto, washaufuta tayari nini? Sasa ndio umehamishwa huku ili uendelee kueneza ujinga? Mada ya uzi huu ipo wazi bana.
 
Whose pic is that anyway? Nimeiona kwenye uzi fulani hivi wa kitoto, washaufuta tayari nini? Sasa ndio umehamishwa huku ili uendelee kueneza ujinga? Mada ya uzi huu ipo wazi bana.
Ni hii jingatype coz imeshindwa hoja na wakenya inaanza huu upuuz
Imeweka hii pic kwa thread zote
 
Ni hii jingatype coz imeshindwa hoja na wakenya inaanza huu upuuz
Imeweka hii pic kwa thread zote
Hahaa! [emoji1] Vitu vingine kama hivyo hapa kwenye jukwaa huwa navipuzilia tu, na nakubali kwamba kuna baadhi ya watu ambao hatupo kwenye level moja kifikra. La sivyo utajipata umeambukizwa ujinga.
 
Hahaa! [emoji1]0Vitu vingine kama hivyo hapa kwenye jukwaa huwa navipuzilia tu, na nakubali kwamba kuna baadhi ya watu ambao hatupo kwenye level moja kifikra. La sivyo utajipata umeambukizwa ujinga.
Ndio maana huwa sikuoni kwa lile la dar SLUM vs nai
 
kumbe Kenya nao kuna waigizaji?
Kenya na filamu wapi na wapi.
Kwenye upande wa filamu, Statistics za mwaka jana ya kwanza ni Nigeria ya pili Ghans, ya tatu ni Tanzania ya nne ni SA. Kenya ipo kwenye mkia.
Mbona mwaka huu tu Monalisa kapokea Tuzo wala hatukupiga kelele. Mwaka jana Lulu kapokea hatujaongea chochote.
Huwa nawashangaa sana na hii tabia yenu ya kuponda kitu chochote kile kutoka Kenya. Hamuwezi sifia vyenu kama ninavofanya kwenye uzi huu bila ya kuchafua vya jirani? Acha niwaige basi, na hizi scene kadhaa kwenye hizo bongo movie mnazozisifia.

img_btgya63l33v-jpg.498848


Bastola 'bonoko' [emoji1][emoji1][emoji1] Hapa chini naona jambazi mstaarabu anayevua viatu kwanza kabla ya kuingia kwenye nyumba za watu kufanya yake.

fb_img_1492713063393-jpg.498832
 
Huwa nawashangaa sana na hii tabia yenu ya kuponda kitu chochote kile kutoka Kenya. Hamuwezi sifia vyenu kama ninavofanya kwenye uzi huu bila ya kuchafua vya jirani? Acha niwaige basi, na hizi scene kwenye hizo bongo movie mnazosifia.
img_btgya63l33v-jpg.498848
[emoji1][emoji1][emoji1]Hapa naona jambazi mstaarabu anayevua viatu kabla ya kuingia kwenye nyumba za wenyewe kufanya yake.
fb_img_1492713063393-jpg.498832
I have never sat down to watch a bongo movie. I will try one of these days
 
Mkalimani wetu mpendwa, Nalendwa njoo basi utueleze kwanini huwa hawakupi hizi kazi za kutafsiri kwenye bongo movie.
 
Back
Top Bottom