Waigizaji na filamu za Kenya zilivyojinyakulia tuzo maradufu kwenye Tuzo za Filamu Afrika, AMVCA kule Lagos, Nigeria

Kifupi shida zimewasaidia kutumia akili zao vizuri. uwezo wao wa kujua vitu upo juu. Ngoja magu atubane weee akili zije.
 
All the best! Uwe tayari pia kuona vitu vya ajabu ajabu kama hivi hapa. Tafsiri kwa kiingereza, bongo movie style. [emoji1][emoji1][emoji1]


Jirani hayo maneno yasingekuwa kwenye screen ningesema umetutungia wallah!
Are we serious?! πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkalimani wetu mpendwa, Nalendwa njoo basi utueleze kwanini huwa hawakupi hizi kazi za kutafsiri kwenye bongo movie.


I can't with you! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
I can't with you! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hahaha! [emoji1] Sina ubaya, ni watu flani hapa wametuponda kwa kujaribu hadi nikasema enough! Acha pia mimi nianike aibu zao hadharani.
Jirani hayo maneno yasingekuwa kwenye screen ningesema umetutungia wallah!
Are we serious?!
Ndio maana nikauliza mbona isingekuwa ni wewe unawafanyia hizi tafsiri, naona kama ungeiweza zaidi.
 
Nawapa hongera wote waliopokea tuzo waendelee kuchapa kazi. Pia Kenya nawasifu kwa quality ya movies mnazotoa ni nzuri sana. Napenda movie ya #Nairobi_half_life [emoji108][emoji95][emoji95] love from Tz
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ....... Alafu utaskia Jambazi anasema.... naomba nikuue!!!!!
 
Bongo movies ni ushamba mtupu japo nawapenda wanavyo jikakamua.
 


Naona wadau wameamua kufufua uzi huu. Utani wa jadi na watani wetu kando, najua watanzania wengi wanamfahamu huyu madam hapa, jina lake ni Sabina Chege. Huyu ndiye aliyekuwa anaigiza kama Rehema, kwenye tamthilia pendwa ya watz na wakenya pia enzi zileee, almaarufu kwa jina Tausi. Hivi sasa jina lake rasmi ni Mheshimiwa Sabina Chege, mbunge anayeiwakilisha County ya Murang'a bungeni, kwa muhula wa pili. Zaidi ya yote anashikilia nafasi nyeti ya mwenyekiti wa kamati ya elimu bungeni. Huwa anawakilisha vilivyo kwenye vikao vya bunge, sanasana kwenye masuala yanayohusu elimu. Alafu ni kazuuuriii! πŸ™‚
 
Tatizo watanzania ustarabu umetuzidi ndiyo maana muvi zetu zinakuwa na makosa kwenye kuigiza umafia hapo kwenye ujambazi ilifaa tuwe na tabia za wanakibera manyangau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ....... Alafu utaskia Jambazi anasema.... naomba nikuue!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Beautiful sana nyota ya de Matthew. Ni kipenzi cha watu huko kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…