pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
- #81
Hahaha! [emoji1] Ndio movie zenyewe zilivyo. Sijaongeza wala kupunguza lolote.Hizi zako ni dope jo!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha! [emoji1] Ndio movie zenyewe zilivyo. Sijaongeza wala kupunguza lolote.Hizi zako ni dope jo!.
Kifupi shida zimewasaidia kutumia akili zao vizuri. uwezo wao wa kujua vitu upo juu. Ngoja magu atubane weee akili zije.Watu hawajui kuwa katika movie industry Afrika sidhani kama kuna mtu anamgusa South Africa japo wanaija nao wameanza kuja kasi hasaa katika kuzingatia quality ..
Diaspora wao naona wanarudi kwa kasi katika movie industry yao na ndo maana hata sasa movie za naija zinapasua anga kwa kizazi kipya
Kenyans mpo vizuri na ndio maana Mtv shuga ya Kenya kwangu is still the best haswaa kwa wale waigizaji ..ikifuatiwa na Mtv down south... wakenya hawaangalii sura na shape ya mwili..wanaangalia peformance na hapo ndo tulipotofautiana
All the best! Uwe tayari pia kuona vitu vya ajabu ajabu kama hivi hapa.Tafsiri kwa kiingereza, bongo movie style. [emoji1][emoji1][emoji1]![]()
![]()
Mkalimani wetu mpendwa, Nalendwa njoo basi utueleze kwanini huwa hawakupi hizi kazi za kutafsiri kwenye bongo movie.
Huwa nawashangaa sana na hii tabia yenu ya kuponda kitu chochote kile kutoka Kenya. Hamuwezi sifia vyenu kama ninavofanya kwenye uzi huu bila ya kuchafua vya jirani? Acha niwaige basi, na hizi scene kadhaa kwenye hizo bongo movie mnazozisifia.Bastola 'bonoko' [emoji1][emoji1][emoji1] Hapa chini naona jambazi mstaarabu anayevua viatu kwanza kabla ya kuingia kwenye nyumba za watu kufanya yake.![]()
![]()
Hahaha! [emoji1] Sina ubaya, ni watu flani hapa wametuponda kwa kujaribu hadi nikasema enough! Acha pia mimi nianike aibu zao hadharani.I can't with you! 😀😀😀
Ndio maana nikauliza mbona isingekuwa ni wewe unawafanyia hizi tafsiri, naona kama ungeiweza zaidi.Jirani hayo maneno yasingekuwa kwenye screen ningesema umetutungia wallah!
Are we serious?!
Ahsante.wengi wenu hawaijui Kenya.Nawapa hongera wote waliopokea tuzo waendelee kuchapa kazi. Pia Kenya nawasifu kwa quality ya movies mnazotoa ni nzuri sana. Napenda movie ya #Nairobi_half_life [emoji108][emoji95][emoji95] love from Tz
Huyu mwanaume Hollywood kashaiteka, ni hatari, Bongo Movie waendelee ni akina Wema tu kwa wakati wao, manyang'au wako mbali mno...edie gathegi ni mnyama nilipoona sura yake tu nikajua huyu lazima atakuwa na asili ya KENYA
😂😂😂😂😂 ....... Alafu utaskia Jambazi anasema.... naomba nikuue!!!!!Huwa nawashangaa sana na hii tabia yenu ya kuponda kitu chochote kile kutoka Kenya. Hamuwezi sifia vyenu kama ninavofanya kwenye uzi huu bila ya kuchafua vya jirani? Acha niwaige basi, na hizi scene kadhaa kwenye hizo bongo movie mnazozisifia.Bastola 'bonoko' [emoji1][emoji1][emoji1] Hapa chini naona jambazi mstaarabu anayevua viatu kwanza kabla ya kuingia kwenye nyumba za watu kufanya yake.![]()
![]()
Hahahaha.Na haingii na viatu chumbani. Anaviacha mlangoni😂😂😂😂😂 ....... Alafu utaskia Jambazi anasema.... naomba nikuue!!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ....... Alafu utaskia Jambazi anasema.... naomba nikuue!!!!!
Beautiful sana nyota ya de Matthew. Ni kipenzi cha watu huko kwetu.Naona wadau wameamua kufufua uzi huu. Utani wa jadi na watani wetu kando, najua watanzania wengi wanamfahamu huyu madam hapa, jina lake ni Sabina Chege. Huyu ndiye aliyekuwa anaigiza kama Rehema, kwenye tamthilia pendwa ya watz na wakenya pia enzi zileee, almaarufu kwa jina Tausi. Hivi sasa jina lake rasmi ni Mheshimiwa Sabina Chege, mbunge anayeiwakilisha County ya Murang'a bungeni, kwa muhula wa pili. Zaidi ya yote anashikilia nafasi nyeti ya mwenyekiti wa kamati ya elimu bungeni. Huwa anawakilisha vilivyo kwenye vikao vya bunge, sanasana kwenye masuala yanayohusu elimu. Alafu ni kazuuuriii! 🙂![]()