Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Ya watu wazambia kama cjakosea mkuu wanazungumza kiswahili ,ipo poa sanaSamahani mkuu mpali ni ya kizungu ili nije nikairushe..????
Mkee mkubwa ana macho flan hv mazuri haswa ,na napendaga sana wake wadogo wanavyompendaga na kumuheshimu sana amegeuka km mama Yao c mke mwenza Tena😂Mimi navutiwa na character ya Nguzu mwenyewe na wake zake wote hasa mke mkubwa
Uko sahihi kabisa kwa 100%Hii tamthilia ya Mpali ina story nzuri sana ambayo inaeleweka. Ni bwana Nguzu na wakeze sita kule shamba kwao.
Sasa ukija kwenye tamthilia za kitanzania, unakuta story ni ndefu mpaka inaboa yaani.
Director analazimisha story isiidhe ili aendelee kupiga pesa. Matokeo yake inapoteza mvuto.
Hakika wasanii na ma-director wa kitanzania wana cha kujifunza kwa tamthilia ya Mpali inayorushwa na Dstv.
Kuna yule mke wake mwenye mtoto anaeitwa Tionenji ananifurahishagaMkee mkubwa ana macho flan hv mazuri haswa ,na napendaga sana wake wadogo wanavyompendaga na kumuheshimu sana amegeuka km mama Yao c mke mwenza Tena😂
Hawazungumzi Kiswahili ila imefanyiwa dabbing kwa lugha ya Kiswahili.Ya watu wazambia kama cjakosea mkuu wanazungumza kiswahili ,ipo poa sana
yaani mpali ni nzuri ila LAMATA apewe heshima yake.Mpali hawajazi watu hovyohovyo kama jua kali
Sijui Lamata anakwama wapi?
JunzaMimi navutiwa na character ya Nguzu mwenyewe na wake zake wote hasa mke mkubwa
Jairos alimla monde, mzee nguzu akamfukuzaga shambani, afu mambo yakaenda kombo ikabidi amrudishe shambani na aliomba sana msamaha, hambe tayari alikula tamala wakati ule anawadanganya ana mimba kumbe mtoto kanunuaMpali ina mambo mengi ya kiwaki ujue,, mtoto wa mzee (Hambe) akataka kupiga mama yake wa kambo (slay queen Tamala)
Mke wa 3 (Monde) anapenda sana ushirikana,,
Big man Jairos sijui alipiga pale kwa binamu yake na Mwanida,,
Mpali iko vizuri sana wenzetu wako mbele zaidi katika hii,,