Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwijaku BBC?? Hatuna watangazaji bora kwa sasa wengi wamejaa upuuzi.Akina Adam mchomvu, mwijaku na masanja nao wangeapply huko BBC ili kupeperusha bendera ya TZ anga za kimataifa
Kusoma habari huku kavaaa Tshirt kama Sketi.Itakuwa bbc hawamuona masanja, jamaa anaweza kweli
Au BBC wangewachukua wakina j.lokole na didaAkina Adam mchomvu, mwijaku na masanja nao wangeapply huko BBC ili kupeperusha bendera ya TZ anga za kimataifa
Natamani angekua mtanzania tena, tatizo watangazaji wa tanzania hawako professional wengi ni machawa na elimu wise hawako vizuri. Wakenya wamejipanga japo kiswahili chao wame jifunzia Tanzania, kwamfano Mauleed kitenge angeweza ila mihemuko mingi sana na kelele.Baada ya Salimu Kikeke kutangaza rasmi kustaafu kazi ya utangazaji pale BBC swali kubwa lilikua nani mrithi wake. Kutoka The Citizen Tv ya nchini Kenya hadi BBC ni ndugu Waihiga Mwaura ambaye amehudumu The Citizen Tv kwa miaka kumi na nne(14) ndio anayeenda kuirithi nafasi ya Salim Kikeke.View attachment 2607173
Kinachowasumbua Watangazaji wengi wa Tanzania ni Njaa kugeuka kua machawa na kufanya mambo mengi ya kitoto ili kutafuta trending.Natamani angekua mtanzania tena, tatizo watangazaji wa tanzania hako professional wengi ni machawa na elimu wise hawako vizuri. Wakenya wamejipanga japo chao wamejifunzia Tanzania
Tanzania ni nchi peke inao kosa serious daily Gazeti, serious Radio stetion, FM zote muondo wa presenters ni ule ule, TV ndo usiseme ukiondoa UTV ya Azam zingine taarifa ni ile ile, maanake tumeshindwa kutoa journalist wa maana wote ni wasakatonge machawa.Kinachowasumbua Watangazaji wengi wa Tanzania ni Njaa kugeuka kua machawa na kufanya mambo mengi ya kitoto ili kutafuta trending.
Hata chuo kikuu miaka ya nyuma tulikua na professor wenye majina makubwa kwenye kila department, unatamani kumsikiliza, sasa neenda udom na udsm uone ma profesor uliopo hawana hata academic popularity, sasa hivi tunarudi reverse sio mbele tena.Miaka ya nyuma tulikuwa tunapeleka waandishi wetu huko miaka ya hivi karibun sioni tukifanya hivyo
Miaka ya nyuma tulikuwa tunapeleka waandishi wetu huko miaka ya hivi karibun sioni tukifanya hivyo
Stations kama radio one itv ndio ilikuwaga sehemu ya kupika hawa watu sijui wanakwama wapi sahvtangu Godwin Gondwe alambe teuzi waandishi wamechanganyikiwa na wako bize kusaka teuzi
Zama za Salim kikeke,Tido,Charles Hiraly,zimepita,sasa hv bongo hakuna waandishi wa habari,Kuna wapayukaji tu!na wachambuzi wa mpira,na maisha ya watu,Baada ya Salimu Kikeke kutangaza rasmi kustaafu kazi ya utangazaji pale BBC swali kubwa lilikua nani mrithi wake?
Kutoka The Citizen Tv ya nchini Kenya hadi BBC ni ndugu Waihiga Mwaura(38) ambaye amehudumu The Citizen Tv kwa miaka kumi na nne(14) ndio anayeenda kuirithi nafasi ya Salim Kikeke.
View attachment 2607173
Nauhakika hawajui hata kirefu Cha BBC!!Akina Adam mchomvu, mwijaku na masanja nao wangeapply huko BBC ili kupeperusha bendera ya TZ anga za kimataifa
Kwa bongo ,yupo mmoja tu,Daniel Kijo,ni foreign correspondent wa SABC!Natamani angekua mtanzania tena, tatizo watangazaji wa tanzania hawako professional wengi ni machawa na elimu wise hawako vizuri. Wakenya wamejipanga japo kiswahili chao wame jifunzia Tanzania, kwamfano Mauleed kitenge angeweza ila mihemuko mingi sana na kelele.
Kwa bongo ,yupo mmoja tu,Daniel Kijo,ni foreign correspondent wa SABC!
Huyu ni akili kubwa!!
Waende kupigana mitama huko studio,Akina Adam mchomvu, mwijaku na masanja nao wangeapply huko BBC ili kupeperusha bendera ya TZ anga za kimataifa